WAZIRI MKUU AWATEMBELEA MAWAZIRI WAKUU WASTAAFU
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, David Cleopa Msuya, wakati alipomtembelea nyumbani kwake Upanga, jijini Dar es salaam Februari 21, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba, wakati alipomtembelea…









