Featured
Soma zaidi » Wenye Ulemavu Njombe DC Wabembelezwa Kuchukua Mikopo Ya Halmashauri
Wenye Ulemavu Njombe DC Wabembelezwa Kuchukua Mikopo Ya Halmashauri
Wenye ulemavu Njombe DC wabembelezwa kuchukua mikopo ya halmashauri. Na Amiri Kilagalila,Njombe. WATU wenye ulemavu halmashauri ya wilaya ya Njombe mkoani Njombe wametakiwa kujitokeza kuomba mikopo katika halmashauri ili kujikwamua kiuchumi. Ombi hilo limetolewa na mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya…
