RSB BERKANE YATOA DOZI KIBABE YAICHAPA US GENDARMERIE NA KUISHUSHA SIMBA KILELENI
WAPINZANI wa Simba katika Michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika timu ya RSB Berkane FC ya Morocco wameanza vyema kwa kupata ushindi kibabe wa mabao 5-3 dhidi ya US Gendarmerie National ya Niger. RS Berkane walianza mchezo kwa kasi…









