slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

marsbahis giriş

NervEase

sapanca escort

sapanca escort

escort sapanca

holiganbet

jojobet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

vdcasino

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

teosbet

madridbet

marsbahis

imajbet giriş

interbahis

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

holiganbet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

kingroyal

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Pusulabet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

trendbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

holiganbet giriş

jokerbet

jokerbet giriş

imajbet

imajbet giriş

interbahis giriş

imajbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

porno izle

Hacklink Panel

palacebet

vdcasino giriş

bets10 giriş

interbahis

matbet

imajbet

interbahis giriş

klasbahis

interbahis giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

trust score weak 3

holiganbet

slot siteler

deneme bonusu 2026

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

primebahis

betgar, betgar giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

timebet

meritking

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

betist

betist

marsbahis

jojobet giriş

matbet

sekabet

pusulabet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa Uncategorized

HOJA 11 KATI YA 18 ZA MUUNGANO ZAFUTWA

Written by Alex Sonna

 Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na  Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Februari 13,2022 visiwani Zanziabar  wakati akitoa taarifa yake  wiki kuhusu utekelezaji wa sera, miradi na utekelezaji wa shughuli mbalimbali za Serikali.

 Waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na  Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, wakati akitoa taarifa yake  wiki kuhusu utekelezaji wa sera, miradi na utekelezaji wa shughuli mbalimbali za Serikali leo Februari 13,2022 visiwani Zanziabar 

…………………………………………………………

Na Immaculate Makilika – MAELEZO, Zanzibar

Mwaka huu katika kuadhimisha miaka 58 ya Muungano wenye mafanikio makubwa na mfano wa kuigwa duniani Watanzania wameendelea kujivunia Muungano wao na tunu hiyo muhimu kwao.

 

Akizungumza leo Zanzibar, Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na  Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa wakati akitoa taarifa yake  wiki kuhusu utekelezaji wa sera, miradi na utekelezaji wa shughuli mbalimbali za Serikali  alisema kuwa licha ya kuwepo changamoto mbalimbali za Muungano Serikali hatukuishiwa maarifa na majawabu ya kukabiliana nazo. 

Ambapo kumekuwepo na utaratibu wa kuwa na vikao vya pamoja vya kuzungumzia masuala ya Muungano ukiwemo utatuzi wa hoja za Muungano.

“Tulianza jukumu hili tangu mwaka 2006 tukiwa na hoja 25, tumefanya kazi kubwa ya kuzitafutia ufumbuzi, tukazipunguza hadi mwaka 2019 zikabaki hoja 18 na tarehe 24 Agosti mwaka jana 2021 tukaandika historia nyingine ya kuzifuta hoja 11 kati ya 18 katika vitabu vyetu kwa kuwa tayari zilikuwa zimeshapatiwa ufumbuzi” anasema Msigwa.

Alifafanua hoja zilizopatiwa ufumbuzi na kuondolewa kwenye orodha ya hoja na Muungano kuwa ni uingizaji wa maziwa Tanzania Bara kutoka Zanzibar. Ambapo waingizaji wa maziwa kutoka Zanzibar kwenda Tanzania Bara walikuwa wanatozwa shilingi 2,000/- kwa lita, lakini sasa tozo hii imepunguzwa hadi shilingi 250/- kwa lita. Na waingizaji wa maziwa haya wamehimizwa kuzalisha maziwa kutoka Zanzibar badala ya kuingiza maziwa ya unga kutoka nje ya nchi na kisha kuyatengeneza kuwa ya maji na kuyaingiza Bara.

Hoja nyingine ni usimamizi wa ukokotoaji  na ukusanyaji wa kodi kwenye Huduma za Simu unaofanywa na Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRB). 

Msigwa aliendelea kufafanua hoja zingine zilizopatiwa ufumbuzi “Mkataba wa mkopo wa fedha za ujenzi wa Barabara ya Chake chake hadi Wete – Pemba, hoja hii ilitokana na kuwepo kwa sharti la lililotaka mkopo upatikane kupitia Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, sharti hili liliondolewa” Alisisitiza Msigwa.

Hoja zingine ni Mkataba wa mkopo wa fedha za Mradi wa Ukarabati wa Hospitali ya Mnazi Mmoja, Mkataba wa mkopo wa fedha za ujenzi wa Bandari ya Mpigaduri, Uvuvi kwenye Ukanda wa Uchumi wa Bahari Kuu.

Aidha, Ajira kwa Watumishi wa Zanzibar katika Taasisi za Muungano. Hoja hii imetatuliwa na Wazanzibar wanayo nafasi ya kuajiriwa Bara kupitia dirisha la ajira la sekretarieti ya ajira. Mgawanyo wa mapato yatokanayo na Misaada kutoka Nje ya Nchi. Hivi sasa Zanzibar inatapa mgao na inaweza kuomba msaada kutoka nje ya nchi hata bila kibali cha Waziri wa Fedha na Mipango kama ilivyokuwa awali pamoja na Mapato yanayokusanywa na Uhamiaji kwa upande wa Zanzibar. Hoja hii imeondolewa kwa sababu tayari maamuzi yamefanyika kwamba kila upande utakapokusanya mapato yatokanayo na visa yatabaki katika upande husika.

Sambamba na hayo, Msigwa alisisitiza kuwa Muungano ni imara na hivyo wanaendelea kushirikiana katika masuala mbalimbali hususani masuala ya maendeleo.

Baadhi ya masuala ya maendeleo wanayoshirikiana ni Kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii nchini (TASAF) Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini Awamu ya Tatu Mzunguko wa Pili ambao ulizinduliwa mwezi Februari, 2020 ambapo jumla ya shilingi bilioni 112.9 zinatumika  Zanzibar na kazi inaendelea.

Fedha za Kuchochea Maendeleo ya Jimbo kwa Majimbo yote ya Tanzania Bara na Zanzibar na fedha hizo hutumika kutekeleza miradi ya maendeleo kwenye Majimbo. Kwa Majimbo ya Zanzibar kila mwaka hupokea shilingi bilioni 1.4 ambazo hutumika kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo katika Majimbo 50 yaliyopo Zanzibar.

Pamoja na  mradi wa usogezaji wa huduma za mawasiliano katika maeneo ambayo yana mawasiliano hafifu au hayana mawasiliano kabisa. Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (Universal Communications Service Access Fund – UCSAF) na Kampuni ya Mawasiliano Zanzibar (Zantel) wameingia makubaliano mwezi Januari, 2022 ya kujenga minara ya simu 42 katika shehia 38 kwa lengo la kuboresha huduma ya mawasiliano Zanzibar. Mradi huu ukikamilika Zanzibar  mtu atapiga simu akiwa mahali popote labda kutokee kikwazo maalumu.

Matokeo ya ushirikiano Matokeo wa Serikali hizi mbili yameleta mafanikio katika maeneo mbalimbali ambapo kuanzia mwezi wa Juni 2021 hadi sasa Mamlaka ya Uvuvi wa Bahari Kuu inayosimamia (DSFA) imekusanya Shilingi bilioni 2.4 na kutoa gawio kwa serikali (SMT na SMZ) ya asilimia 50 ya mapato hayoikilinganishwa na kushindwa kukusanya kabisa mwaka 2019 na 2020. 

Mafanikio haya yametokana na kutungwa kwa sheria ya Kusimamia na Kuendeleza Uvuvi wa Bahari Kuu, Sura ya 388 ya mwaka 2020 ambayo imeridhiwa na Baraza la Wawakilishi. Kanuni zake zimeanza kutumika mwaka 2021. Sheria na Kanuni hizi zimechochea uwekezaji katika uvuvi wa Bahari Kuu.

Aidha, Kufadhili mradi wa Kutambua Maeneo yenye Samaki wengi Baharini (Potential Fishing Zone – PFZ). Jumla ya wavuvi wadogo 3,360 wamefaidika na mradi huu.

About the author

Alex Sonna