LATEST ARTICLES

DK.BITEKO:SERIKALI ITAENDELEA KUSHIRIKIANA NA GGML,MPENI USHIRIKIANO MAVUNDE

0
Makamu Rais wa AngloGold Ashanti anayeshughulikia miradi endelevu Ghana na Tanzania, Simon Shayo (kushoto) akimpatia maelezo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk....

NAIBU KATIBU MKUU AFANYA ZIARA WILAYA MPWAPWA NA MVOMERO

0
Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Switbert Mkama akisikiliza maelezo kuhusu mradi wa lambo katika Kijiji cha Melela Wilaya ya...

CHEREHANI CUP 2023 YAANZA KURINDIMA USHETU

0
        Na Mathias Canal, Ushetu-Shinyanga   Mashindano ya mpira wa miguu yaliyopewa jina la "CHEREHANI CUP 2023" yameanza kurindima katika Wilaya ya Ushetu Mkoani Shinyanga.   Mashindano hayo yatakayohusisha...

SERIKALI YAANZA MPANGO WA UNUNUZI WA DHAHABU

0
  •Yapanga kununua Tani 6   •TRA watoe elimu kuhusu kodi ya 2%   ** Serikali kupitia Benki Kuu ya Tanzania(BoT) imeanza mpango maalum wa ununuzi wa Madini ya dhahabu...

NSSF INAVYOWEKA ALAMA YA MAFANIKIO MAONESHO YA MADINI

0
*Mkurugenzi Mkuu amueleza Naibu Waziri Mkuu jinsi wanavyowafikia wachimbaji wadogo   *Mkoa wa Geita pekee walikusanya bilioni 56 kwa mwaka fedha ulioishia Juni 2023     Na MWANDISHI WETU,...

WAFANYAKAZI GGML WAJITOKEZA KUCHUNGUZWA SARATANI,MADAKTARI WATOA UJUMBE KWA JAMII

0
Mratibu wa Idara ya Huduma za dharura kutoka GGML, Evarist Mwanakatwe akipatiwa vipimo vya saratani ya tezi dume kutoka kwa mmoja wa madaktari wa...

DKT.BITEKO AAGIZA MATUMIZI SAHIHI YA FEDHA ZA SERIKALI

0
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt.Doto Biteko akizungumza na wananchi mara baada ya kuwasili katika Jimbo la Bukombe mkoani Geita tarehe 24...

TTCL MMEKABIDHIWA DHAMANA KUBWA YA KUILETEA NCHI MAENDELEO KUPITIA SEKTA YA MAWASILIANO-SHOMARI

0
    Na Mwandishi wetu - Zanzibar   Mikakati mbalimbali inayotekelezwa na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) imesaidia kuimarisha biashara, kuinua uchumi na kuimarisha hali ya usalama...