TAKUKURU DODOMA YAANZA KUFUATILIA ZOEZI LA UGAWAJI PEMBEJEO ZA KILIMO

0
  MKUU wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma Bw.Sosthenes Kibwengo ,akizungumza na waandishi wa habari leo Novemba jijini Dodoma. ...

MASHAMBA 100 YA MALISHO KUONGEZA TIJA SEKTA YA MIFUGO NCHINI

0
KATIBU Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Sekta ya Mifugo) Tixon Nzunda,akizungumza wakati akifungua kikao cha wadau cha maboresho ya kodi na tozo katika...

MAJALIWA AKAGUA MRADI WA MAJI KISARAWE MJINI

0
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka Afisa Mtendaji  Mkuu wa DAWASA, Mhandisi Cyprian  Luhemeja kuhusu Mradi wa Maji wa Kisarawe mjini  akiwa katika...

MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA NONDO CHA LODHIA GROUP KILICHOPO MKURANGA

0
Waziri Mkuu  Kassim Majaliwa akitazama uzalishaji wa nondo wakati alipotembelea kiwanda cha Nondo cha Makampuni ya Lodhia Group kilichopo Mkuranga akiwa katika ziara ya...

WAZIRI MKENDA ATETA NA VIONGOZI WA TAHLISO,ZAHLIFE JIJINI DODOMA

0
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameahidi kushughulikia changamoto mbalimbali za wanafunzi wa elimu ya juu...

WAZIRI KIJAJI AMWAKILISHI RAIS SAMIA MKUTANO WA DHARULA WA 17 WA WAKUU WA NCHI...

0
WAZIRI wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amesema Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika wamempongeza Rais...

WADAU WA NISHATI NCHINI WAKUTANA KUJADILI MPANGO WA MATUMIZI BORA YA NISHATI KWENYE MAJENGO

0
  Shirika la Umoja la Mataifa la Mpango wa Maendeleo (UNDP) kwa kushirikiana na Wizara ya Nishati imeandaa warsha ya siku mbili ya wadau wa...

MLINZI WA KAMPUNI BINAFSI AJIUA KWA KUJIPIGA RISASI.

0
Mnamo tarehe 28.11.2022 majira ya saa 05:30 asubuhi huko maeneo ya Benki ya Azania jengo la NHIF lililopo Kata na Tarafa  ya Sisimba, Jijini...

UWT WATAKIWA KUJIIMARISHA KATIKA KUWAUNGANISHA NA KUWAKWAMUA WANAWAKE.

0
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan, ameutaka Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kujipanga...