CHIKOTA ATAKA KASI USAMBAZAJI WA GESI ASILIA MAJUMBANI

0
  Na Mwandishi Wetu, DODOMA Mbunge wa Nanyamba (CCM), Abdallah Chikota ameshauri serikali kuendelea kutenga fedha kwa ajili ya usambazaji wa nishati ya gesi asilia majumbani...

MBUNGE MTATURU AOMBA UMEME WA UHAKIKA IKUNGI NA MANYONI.

0
  MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ameiomba serikali kuimarisha upatikanaji wa umeme wa uhakika katika Wilaya ya Manyoni na Ikungi zilizopo Mkoani Singida ili...

MTATURU AISHUKIA SERIKALI MRADI WA UMEME WA UPEPO

0
  Na.Mwandishi Wetu-DODOMA MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu,amechangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Nishati na kutoa ombi kwenye maeneo matatu ikiwemo kwa serikali kuja...

TUME YA KUREKEBISHA SHERIA YAKUTANA NA ASASI ZA KIRAIA

0
  Taasisi za Serikali, Asasi za kiraia pamoja na wananchi wameendelea kukumbushwa kuwasilisha mapendekezo yao ya maboresho mbalimbali ya sheria katika Tume ya Kurekebisha Sheria...

WAZIRI JAFO ASHIRIKI ZOEZI LA KUFANYA USAFI NA KUPANDA MITI SHULE YA SEKONDARI KIWANJA...

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt.Selemani Jafo akiongoza zoezi la kufanya usafi lililoenda sambamba na kupanda miti katika...

NABADILISHA CHUPI MARA  3  KWA SIKU,ILA NASHINDWA KUMPA UTAMU!

0
Unajua dunia hii imezungukwa na magonjwa mbalimbali na kila ugonjwa una changamoto nyingi katika mwili wa binadamu, baadhi ya watu wakipata magonjwa yanayohusishwa na...

TANZANIA NA JAPAN KUSHIRIKIANA KUENDELEZA MICHEZO NCHINI

0
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu (katikati) akiwa kwenye kikao na Mtaalamu wa michezo kutoka Shirika la Maendeleo ya...

HEKARI 101 NA MAGUNIA 482 YA BANGI YATEKETEZWA ARUSHA

0
  Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na dawa za kulevya (DCEA) imefanikiwa  kukamata gunia 482 za bangi iliyokuwa tayari kusafirishwa kwenye masoko na  imeteketeza jumla...

MAKAMU WA RAIS ATETA NA WAWEKEZAJI BURUNDI

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizungumza na Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka nchini Burundi...