Jumatatu, Novemba 23, 2026
HABARI MPYA

Habari za Hivi Punde

Magazeti

MAAJABU MKOANI SINGIDA :MWILI WA MTOTO ALIYEZIKWA WAFUKULIWA NA KUIBWA

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani wa Singida Kamisha Msaidi (ACP) Stella Mutabihirwa.akizungumza na waandishi wa habari kuhusu tukio hilo.  Godwin Myovela na Dotto Mwaibale, Singida …………………………………………………… JESHI la Polisi mkoani hapa linawashikilia watuhumiwa 16 kwa mahojiano kufuatia tukio la…

Soma zaidi » MAAJABU MKOANI SINGIDA :MWILI WA MTOTO ALIYEZIKWA WAFUKULIWA NA KUIBWA
Kimataifa

SHIRIKA LA POSTA LAPOKEA UGENI WA KAMATI YA MAWASILIANO, ARDHI NA NISHATI YA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR

  Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC) Macrice Mbodo akielezea taarifa mbalimbali zinazofanywa na Shirika hilo na namna wanavyoendesha shughuli ili kuwafikia watanzania nchi nzima baada ya kupokea ugeni toka Kamati ya  Mawasiliano, Ardhi na Nishati ya Baraza…

Soma zaidi » SHIRIKA LA POSTA LAPOKEA UGENI WA KAMATI YA MAWASILIANO, ARDHI NA NISHATI YA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR
Photos

RAIS SAMIA AWASILI MKOANI KILIMANJARO AZUNGUMZA NA WANANCHI WA BOMANG’OMBE AKIELEKEA MOSHI MJINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Kilimanjaro mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.…

Soma zaidi » RAIS SAMIA AWASILI MKOANI KILIMANJARO AZUNGUMZA NA WANANCHI WA BOMANG’OMBE AKIELEKEA MOSHI MJINI
Kimataifa

SERIKALI YAANZISHA ENEO MAALUM LA UWEKEZAJI LA EPZA JIJINI DODOMA KWA AJILI YA KUJENGA KONGANI ZA VIWANDA

  Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashantu Kijaji akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Athony Mtaka wakikagua eneo maalum la uwekezaji (SEZ) lenye ukubwa wa hekari 1500 katika eneo la viwanda Nala lililotolewa na Ofisi ya…

Soma zaidi » SERIKALI YAANZISHA ENEO MAALUM LA UWEKEZAJI LA EPZA JIJINI DODOMA KWA AJILI YA KUJENGA KONGANI ZA VIWANDA