Featured Kitaifa

SHEREHE ZA MIAKA 20 YA GAZETI LA ZANZINBAR LEO ZAFANA,RAIS MWINYI ATOA NENO

Written by mzalendoeditor

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake  katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti la Zanzibar leo tokea kuanzishwa kwake katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar.

Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.Amani Abeid Karume akiwa muanzilishi wa Gazeti la Zanzibar leo akiangalia muonekeno mpya wa gazeti hilo mara baada ya uzinduzi uliofanywa na  Rais wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika sherehe za kutimia miaka 20   zilizofanyika  katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar.

Baadhi ya Waalikwa na wafanyakazi wa Gazeti la Zanzibar leo wakiwa katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti hilo  tokea kuanzishwa kwake zilizofanyika katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi zawadi Mkurugenzi Mtendaji wa Gazeti la Zanzibar leo  Nd,Ali Haji Mwadini   katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti hilo  tokea kuanzishwa kwake katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar(katikati) Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita na Dkt.Ali Mwinyikai  muanzilishi .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi zawadi  Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita  katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti la Zanzibar leo  tokea kuanzishwa kwake katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimkabidhi zawadi  Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.Amani Abeid Karume (kushoto) aliyeanzisha   Gazeti la Zanzibar leo   katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti hilo  katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar (kulia) Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi zawadi  ya Cheti aliyekuwa mjumbe wa bodi Bw.Said Salim katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti la Zanzibar leo  tokea kuanzishwa kwake katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar (katikati) Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita    .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita  katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti la Zanzibar leo  tokea kuanzishwa kwake katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar 

Baadhi ya Wafanyakazi wa Gazeti la Zanzibar leo wakiwa katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti hilo  tokea kuanzishwa kwake zilizofanyika katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibarmgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa muonekano mpya wa Gazeti la zanzibar leo wakati wa  sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti hilo  tokea kuanzishwa kwake katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar ambapo muanzilishi wa Gazeti hilo Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt.Amani Abeid Karume alikuwepo katika sherehe hiyo.[Picha na Ikulu].

About the author

mzalendoeditor