Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Kilimanjaro mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia pamoja na Kikundi cha ngoma za asili ya kabila la Kimasai mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Wananchi wa Bomang’ombe Mkoani Kilimanjaro wakati akielekea Moshi mjini

Previous articleSERIKALI YAANZISHA ENEO MAALUM LA UWEKEZAJI LA EPZA JIJINI DODOMA KWA AJILI YA KUJENGA KONGANI ZA VIWANDA
Next articleSHIRIKA LA POSTA LAPOKEA UGENI WA KAMATI YA MAWASILIANO, ARDHI NA NISHATI YA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here