SH.BILIONI 60 HUTOLEWA KILA MWAKA KWA AJILI YA MIKOPO YA HALMASHAURI
OFISI ya Rais TAMISEMI inafanya tathimini nchi nzima ili kuangalia namna bora ya matumizi ya fedha za asilimia 10 za halmashauri kwa ajili ya mikopo ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu. Haya yameelezwa Bungeni na Waziri wa Nchi, Ofisi…









