Habari za Hivi Punde
TANZIA:BEKI WA ZAMANI SIMBA AFARIKI DUNIA
BEKI wa zamani wa Simba, Adam Suleiman ’Tata’ amefariki dunia usiku wa kuamkia leo nyumbani kwao, Tanga ambako alirudishwa kutoka Morogoro alipokuwa anaishi baada ya hali yake kuwa mbaya. Adam Suleiman aliyeibukia Muheza Shooting akacheza pia na Reli ya Morogoro ni…
BINTI WA MIAKA 17 AJIUA KWA CHANDARUA BAADA YA KUACHIKA MARA TATU
Mwanamke aliyetambulika kwa jina la Rebecca Benjamin, Mkazi wa Kata ya Izunya, Wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita, mwenye umri wa miaka 17, amefariki dunia kwa kujinyonga kwa kile kinachoelezwa kuwa ni msongo wa mawazo baada ya kuolewa na kuachika mara…
MAJALIWA AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA TARAFA YA NGORONGORO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye viwanja vya ukumbi wa Ngorongoro mkoani Arusha kuzungumza na viongozi na mwananchi wa Tarafa hiyo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi na wananchi wa Tarafa ya Ngorongoro, katika ukumbi wa…
WAZIRI BASHUNGWA AZIELEKEZA HALMASHAURI KUTENGA MAENEO YA UWEKEZAJI
OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Innocent Bashungwa Akijimaswali hayo amesema ni lazima Halmashauri kutenga maeneo maalumu kwa ajili ya uwekezaji na vikundi vinavyokopa asilimia 10 ya fedha za halmashauri kuwa…
RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA CHEMBA YA BIASHARA,VIWANDA NA KILIMO YA UBELGIJI,LUXEMBOURG,AFRIKA,CARIBBEAN NA PACIFIC (CBL-ACP),BRUSSELS NCHINI UBELGIJI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo ya Ubelgiji, Luxembourg, Afrika, Caribbean na Pacific (CBL-ACP), Brussels nchini Ubelgiji Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Katibu Mkuu wa Shirika…
WIZARA YA AFYA YAPOKEA VIFAA VYA TEHAMA VYENYE THAMANI ZAIDI YA MIL. 105
Mkurugenzi wa Oparesheni wa MDH Dkt. Nzovu Ulenga (kushoto) akikabidhi vifaa vya Tehama na machapisho vyenye thamani zaidi ya Mil. 105 kwa Kaimu Mkurugenzi msaidizi Epidemiolojia na udhibiti wa magonjwa kutoka Wizara ya Afya Dkt. Rogath Kishimba (kulia) leo jijini…
BREAKING NEWS:RAIS DK.MWINYI ATENGUA UTEUZI WA KAMISHNA MKUU WA ZRB
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) na Wakurugenzi wa Bodi ya (ZRB) alipotembelea kwa mara ya kwanza Ofisi za Bodi ya Mapato Zanzibar.(ZRB) Mazizini Jijini…
TBS YATOA MAAGIZO KWA WASAFIRISHAJI WA BIDHAA ZA NJE YA NCHI
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Bw.David Ndibalema akifungua Mkutano kati ya TBS na Wasafirishaji wa bidhaa za nje ya nchi uliofanyika leo tarehe 17/02/2022 katika ukumbi wa mkutano Makao Makuu ya TBS Jijini Dar es Salaam. …
MKE WA RAIS DK. MWINYI KUZINDUA TAASISI YA ZANZIBAR MAISHA BORA FOUNDATION
Afisa Mtendaji Mkuu Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mwanaidi Mohammed Ali akizungumza na Waandishi wa Habari kwa niaba ya Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi mama Maryam Mwinyi kuhusu uzinduzi wa Taasisi ya Zanzibar…









