WATOTO SABA WASIKIA SAUTI KWA MARA YA KWANZA TANGU KUZALIWA
Mtoto Cayleen Regan akifurahi baada ya kuanza kusikia kwa mara tangu kuzaliwa, Kulia ni mtaalamu wa matamshi (Speech Therapist) Bi Christina Simangwa. Cayreen ni miongoni mwa watoto saba waliopandikizwa vifaa vya kusaidia kusikia Januari mwaka huu Mtoto Haleluya Kihondo akiwashiwa…









