Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI AJUMUIKA KATIKA SALA YA IJUMAA NA WANANCHI WA KIJITOUPELE NA KUMJULIA HALI BWANAKHERI OMAR NYUMBANI KWAKE KIEMBESAMAKI

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasailimia Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Qudus Kijitoupele Wilaya ya Magharibi “A” Unguja.

WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati akizungumza na kuwasalimia Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Qudus Kijitoupele Wilaya ya Magharibi “A” Unguja

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Mahmoud Mussa Wadi, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Qudus Kijitoupele Wilaya ya Magharibi “A” Unguja.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Qudus Kijitoupele Wilaya ya Magharibi “A”Unguja.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kumsalimia Bwanakhari Omar alipofika nyumbani kwake Kiembesamaki kumjulia hali yake.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor