marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

casibom giriş

jojobet

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

imajbet

vdcasino

marsbahis

kavbet

bets10 giriş

jojobet

holiganbet

wbahis

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

grandpashabet

marsbahis

restbet

artemisbet

artemisbet

kavbet giriş

mislibet

betra

kavbet

aresbet

jojobet

betasus giriş

holiganbet

kulisbet, kulisbet giriş

betkare, betkare giris

betparibu

bekabet, bekabet giris

jojobet

Superbetin giriş

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

perabet

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

onlybet giriş

betebet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

ultrabet

Gamdom

grandpashabet giriş

egebet

betsmove

mavibet

egebet

betsmove

tophillbet

netbahis giriş

casibom

royalbet

bibubet

https://pasands.com/

يلا شوت

hantavirus token

restbet

kumar siteleri

kralbet giriş

Deneme Bonusu

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

parmabet

kavbet

kavbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet

artemisbet giriş

parmabet

parmabet giriş

mislibet

parmabet

vdcasino

marsbahis

sweet bonanza

jojobet güncel giriş

yakabet

marsbahis

vdcasino

aviator

bets10

bets10 giriş

jupiterbahis

sweet bonanza oyna

Featured Kitaifa

WIZARA, WADAU WAKAA MEZA MOJA KUUJADILI MUONGOZO WA TAIFA WA UENDESHAJI MABARAZA YA USULUHISHI WA MIGOGORO YA NDOA NA FAMILIA.

Written by Alex Sonna

Kamishna Msaidizi wa Ustawi wa Jamii Baraka Makona akizungumza katika kikao cha wadau waliokutana mkoani Morogoro kujadili Mwongozo wa Taifa wa uendeshaji wa Mabaraza ya usuluhishi wa migogoro ya ndoa na familia.

 Mkuu wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii Dkt. Joyce Nyoni akitoa maoni katika kikao cha wadau waliokutana mkoani Morogoro kujadili Mwongozo wa Taifa wa uendeshaji wa Mabaraza ya usuluhishi wa migogoro ya ndoa na familia.

Baadhi ya wadau wakitoa maoni kuhusu Mwongozo wa Taifa wa uendeshaji wa Mabaraza ya usuluhishi wa migogoro ya ndoa na familia kilichofanyika mkoani Morogoro.

Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WMJJWM

…………………………………………………………..

Na WMJJWM-Morogoro

Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imekutana na wadau kutengeneza Mwongozo wa Taifa wa uendeshaji wa Mabaraza ya usuluhishi wa migogoro ya ndoa na familia wenye lengo la kuongeza ufanisi katika uendeshaji wa Mabaraza hayo nchini.

Akizungumza katika kikao hicho mkoani Morogoro Kamishna Msaidizi wa Ustawi wa Jamii Baraka Makona amesema, lengo la kikao hicho ni kupata maoni ya wadau katika kuuboresha Mwongozo huo ili uendelee kutatatua migogoro mbalimbali inayotokea katika ndoa na familia.

“Ndoa na familia nyingi zimekuwa zikikumbwa na migogoro inayosababisha mtengano wa familia hasa watoto kukosa malezi na makuzi na wengi wao kuishia kufanya kazi na kuishi mitaani” alisema Baraka

Ameongeza kuwa Mwongozo huo utasaidia kupatikana kwa taarifa sahihi kutoka katika Mabaraza ya usuluhishi wa migogoro ya ndoa na familia kutoka jumuiya mbalimbali hivyo kuwa katika mstari mmoja wa utoaji wa huduma hiyo kwa jamii.

Akiongea katika Kikao hicho, Hakimu Mkazi Mfawidhi Mwajuma Lukindo, amesema Mwongozo huo utasaidia kuelekeza namna ya kufuata pale migogoro ya ndoa na familia inapofika katika ngazi ya mahakama kwa kufuata njia maalum kwa kutumia mfumo wa kupokea taarifa kutoka katika Mabaraza hayo.

Kwa upande wake Mkuu wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii Dkt. Joyce Nyoni amesema Mwongozo huo utasaidia Wanandoa na familia kutatua changamoto zao, hivyo ukitekelezwa itasaidia kurudisha uhusiano katika ndoa na familia na sio kuvunjika kwa mahusiano hayo.

Naye Afisa wa Jinsia kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Getrude Diabele amesema Shirika hilo linashirikiana na Wizara kuhakikisha kunakuwa na Uratibu mzuri wa uendeshaji wa Mabaraza ya usuluhishi wa migogoro ya ndoa na familia katika jamii ikiwemo Usawa wa Kijinsia katika Mabaraza hayo ambayo mengi yao yana wajumbe wa jinsi ya kiume pekee.

“Wadau tutaendelea kushirikiana na Serikali katika kuhakikisha Mwongozo huu unatekelezeka ili kuyapa Mabaraza ya Usuluhishi wa Migogoro ya ndoa na Familia uwezo wa kusuluhisha migogoro hiyo kwa ngazi ya Familia na Kata bila kufikia hatua za talaka” alisema Getrude

Kwa upande wake Katibu wa Kadha Mkuu wa BAKWATA Hamis Kwangaya  amesema Mwongozo huo utaisaidia Taasisi hiyo kuongeza mbinu katika Baraza la usuluhishi wa migogoro ya Ndoa na familia lililopo katika Taasisi hiyo kufanya kazi kwa ufanisi na kutatua migogoro hiyo katika jamii.

Baraza la Usuluhishi wa Ndoa la Kamishna wa Ustawi wa Jamii ni chombo cha Serikali kilichoanzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Ndoa Na.5 ya mwaka 1971 na kutangazwa na Waziri wa Katiba na Sheria katika Gazeti la Serikali Na.196 la mwaka 1971.

Baraza la Ndoa la Kamishna wa Ustawi wa Jamii liliundwa ili liweze kushughulikia migogoro ya Ndoa kwa Watanganyika wote bila kujali itikadi zao za dini,kabila, jinsia au dhehebu.

Baraza la Usuluhishi wa Ndoa la Kamishna wa Ustawi wa Jamii ni la kipekee kwa muundo na ufanyaji wake wa kazi ukilinganisha na Mabaraza mengine yanayoshughulikia migogoro ya Ndoa ambayo yanaendana na mila na desturi zao mfano Imani za dini, kabila, dhehebu na eneo mhusika anapoishi(kata)

About the author

Alex Sonna