Featured Kitaifa

BREAKING NEWS:RAIS DK.MWINYI ATENGUA UTEUZI WA KAMISHNA MKUU WA ZRB

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) na Wakurugenzi wa Bodi ya (ZRB) alipotembelea kwa mara ya kwanza Ofisi za Bodi ya Mapato Zanzibar.(ZRB) Mazizini Jijini Zanzibar, na kuzungumza na Uongozi huo katika ukumbi wa mkutano wa ofisi hiyo na kutengua uteuzi wa Kamishna Mkuu wa (ZRB) Bw. Salum Yussuf Ali.

MAOFISA wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa mkutano wake na Wakurugenzi wa  Bodi ya (ZRB) na Uongozi wa ZRB uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi za (ZRB) Mazizini Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor