Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA CHEMBA YA BIASHARA,VIWANDA NA KILIMO YA UBELGIJI,LUXEMBOURG,AFRIKA,CARIBBEAN NA PACIFIC (CBL-ACP),BRUSSELS NCHINI UBELGIJI

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo ya Ubelgiji, Luxembourg, Afrika, Caribbean na Pacific (CBL-ACP), Brussels nchini Ubelgiji 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Katibu Mkuu wa  Shirika la Forodha Duniani  (WCO) Brussels nchini Ubelgiji

Rais wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) Paul Koyi akisaini Hati ya makubaliano na Makamu wa Rais wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo ya Ubelgiji, Luxembourg, Afrika, Caribbean na Pacific (CBL-ACP) Amaury Luyckx 

About the author

mzalendoeditor