slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

sapanca escort

google algoritma hack

escort sapanca

jojobet

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

grandpashabet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

gameofbet

madridbet

marsbahis

artemisbet giriş

artemisbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet giriş

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

holiganbet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Pusulabet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet giriş

artemisbet

kavbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

cratosroyalbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

klasbahis

artemisbet giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

casibom giriş

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

jojobet giriş

slot siteler

deneme bonusu 2026

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

betgar, betgar giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

timebet

Piabet

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

holiganbet

marsbahis

matbet

sekabet

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

Featured Kitaifa

TANZANIA BARA, ZANZIBAR KUTEKELEZA KWA PAMOJA ANWANI ZA MAKAZI

Written by Alex Sonna

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla ambaye ni mgeni rasmi akiongea na viongozi mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakati wa kikao kazi na uzinduzi wa operesheni ya anwani za makazi, Zanzibar kilichofanyika kwenye ukumbi wa Sheikh Abdul Wakil, Zanzibar.

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye akiongea na viongozi mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (hawapo pichani) wakati wa kikao kazi na uzinduzi wa operesheni ya anwani za makazi, Zanzibar kilichofanyika kwenye ukumbi wa Sheikh Abdul Wakil, Zanzibar

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Zanzibar, Mhe. Dkt. Khalid Salum Mohammed akiongea na viongozi mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (hawapo pichani) wakati wa kikao kazi na uzinduzi wa operesheni ya anwani za makazi, Zanzibar kilichofanyika kwenye ukumbi wa Sheikh Abdul Wakil, Zanzibar.

Kamisaa wa Sensa na Spika Mstaafu, Mhe. Anne Makinda akizungumza na viongozi mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (hawapo pichani) wakati wa kikao kazi na uzinduzi wa operesheni ya anwani za makazi kilichofanyika kwenye ukumbi wa Sheikh Abdul Wakil, Zanzibar

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Amour Bakari akizungumza na viongozi mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (hawapo pichani) wakati wa kikao kazi na uzinduzi wa operesheni ya anwani za makazi kilichofanyika kwenye ukumbi wa Sheikh Abdul Wakil, Zanzibar

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Eng. Kundo Mathew akiteta jambo na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma wakati wa kikao kazi na uzinduzi wa operesheni ya anwani za makazi, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kilichofanyika kwenye ukumbi wa Sheikh Abdul Wakil, Zanzibar

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Jim Yonazi akifurahia jambo wakati wa kikao kazi na uzinduzi wa operesheni ya anwani za makazi kilichohusisha viongozi mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kilichofanyika kwenye ukumbi wa Sheikh Abdul Wakil, Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akimkabidhi Katibu wa Baraza la Wawakilishi na Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Eng. Zena Said anwani ya Ofisi ya Rais – Ikulu wakati wa kikao kazi na uzinduzi wa operesheni ya anwani za makazi, Zanzibar kilichofanyika kwenye ukumbi wa Sheikh Abdul Wakil, Zanzibar. Katikati anayeshuhudia ni Waziri wa Habari, Mawasiliano naTeknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla (katikati) akimkabidhi Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais, Zanzibar, Mhe. Saada Mkuya anwani ya makazi ya ofisi hiyo wakati wa kikao kazi na uzinduzi wa operesheni ya anwani za makazi, Zanzibar kilichofanyika kwenye ukumbi wa Sheikh Abdul Wakil, Zanzibar. Kulia anayeshuhudia ni Waziri wa Habari, Mawasiliano naTeknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla (katikati) akimkabidhi Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais, Zanzibar, Mhe. Saada Mkuya anwani ya makazi ya ofisi hiyo wakati wa kikao kazi na uzinduzi wa operesheni ya anwani za makazi, Zanzibar kilichofanyika kwenye ukumbi wa Sheikh Abdul Wakil, Zanzibar. Kulia anayeshuhudia ni Waziri wa Habari, Mawasiliano naTeknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye

Kamisaa wa Sensa na Spika wa Bunge Mstaafu, Mhe. Anne Makinda akiongea na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye baada ya kikao kazi na uzinduzi wa operesheni ya anwani za makazi iliyofanyika kwenye ukumbi wa Sheikh Abdul Wakil, Zanzibar. Anayesikiliza wa pili kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Jim Yoanzi na wa kwanza kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mohammed Khamis

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla (aliyeketi katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbali mbali wakati wa kikao kazi na uzinduzi wa operesheni ya anwani ya makazi kilichofanyika kwenye ukumbi wa Sheikh Abdul Wakil, Zanzibar. Kulia aliyeketi ni Waziri wa Habari, Mawasiliano naTeknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye.

……………………………………………………

◊ Anwani kupatikana kwenye programu tumizi maalum ya TEHAMA ya NaPA
◊ Kutekelezwa kwa Shilingi Bilioni 28 Badala ya Shilingi Bilioni 700
◊ Anwani za Makazi ni Mali ya Wananchi, Wanahusika Kutekeleza

Na Prisca Ulomi, WHMTH, Zanzibar

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa pamoja zinashirikiana kutekeleza mfumo wa anwani za makazi nchini kwenye mikoa yote 31 ya Tanzania Bara na Zanzibar ili iweze kukamilika ifikapo mwezi Mei mwaka huu kwa lengo la kufanikisha zoezi la sensa ya watu inayotarajiwa kuanza mwezi Agosti mwaka huu ambapo uzinduzi wa operesheni ya anwani za makazi na kikao kazi kwa ajili hiyo kimefanyika leo kwenye ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul Wakil, Zanzibar

Mgeni Rasmi wa kikao kazi na uzinduzi wa Operesheni ya Anwani za Makazi, Makamu wa Pili wa Rais, Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amesema kuwa tuna viongozi katika kila ngazi, kila mmoja akifanya kazi yake vizuri hakuna mzanzibari atakosa taarifa kuhusu anwani za makazi na sensa ya watu na tumeona wataalam wetu wa ndani wametengeneza mfumo wa NaPA ambao unatupatia anwani za makazi ambapo tungetumia wataalam wa nje, Serikali ingetumia fedha nyingi sana

Ameongeza kuwa Serikali itagawa shilingi bilioni 28 kwenye mikoa yote 31 ya Tanzania Bara na Zanzibar kwa ajiili ya utekelezaji wa anwani za makazi na ugawaji huo wa fedha hizo utazingatia ukubwa wa maeneo na mahitaji halisi ya eneo husika

“Fedha hizi zitakuja kwenye mikoa yenu, zikatumike kwa makusudi yaliyokusudiwa na tutazifuatilia kwa karibu, naamini viongozi ni wasikivu na mtatoa ushirikiano ipasavyo ili tufanikiwe utekelezaji wa jambo hili la anwani za makazi kwa kuwa hakutakuwa na muhali kwenye jambo hili na mmefanikiwa kwenye mazoezi makubwa na hili naamini nidhamu ya matumizi ya fedha itafanyika na tukitoka hapa tukawaelimishe wananchi wetu kuhusu jambo hili na tujumuishe kwenye ajenda zetu zote” amesisitiza Mhe. Abdullah

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Zanzibar (Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi), Mhe. Dkt. Khalid Salum Mohammed wakati akimkaribisha mgeni rasmi amesema kuwa masuala haya yanahitaji ushirikiano wa pamoja na ndio maana wote tuko hapa na baada ya kikao hiki kila mmoja achukue jukumu lake la kuhakikisha anwani za makazi na sensa ya watu inakamilika ipasavyo

“Ni lazima wananchi wajue kibao hiki kipo hapa kwa manufaa gani hivyo ni muhimu kujenga uelewa kwa wananchi ili malengo yaliyokusudiwa yaweze kupatikana”, amesisitiza Mhe. Mohammed.

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye amesema kuwa mazoezi haya mawili ya utekelezaji wa mfumo wa anwani za makazi na sensa ya watu ni mazoezi mawili tofauti ila yanayotegemeana ambapo operesheni hii imelenga kuliongezea nguvu zoezi la sensa ya watu kwa sababu ya maagizo mliyotupatia kuwa zoezi la anwani za makazi linatakiwa kuisha mwezi wa tano na la sensa litaanza mwezi wa Nane mwaka huu

Waziri Nape ameongeza kuwa zoezi la anwani za makazi ni safari ya kuelekea Tanzania ya kidijitali kwa kuwa bila anwani za makazi Tanzania ya kidijitali haiwezakani kwa kuwa tayari dunia imeshaenda kidijitali, sisi ni sehemu ya dunia na kama tunataka kwenda kwenye Mapinduzi ya Nne ya Viwanda ni lazima tutekeleze mfumo wa anwani za makazi na Zanzibar ya kidijitali inawezekana

Amefafanua kuwa mfumo huu wa anwani za makazi ni mkataba baina ya CCM na wananchi kuwa ifikapo mwaka 2025 tuwe na awani za makazi na ni uamuzi mzuri kuwa jambo hili litekelezwe kwa miezi mitano badala ya miaka 5

“Zoezi la sensa haliwezi kutekelezwa vizuri bila anwani za makazi, hivyo tumeona ni vema mfumo wa anwani za makazi utekelezwe kwanza ili kufanikisha utekelezji wa sensa ya watu na makazi,” amesema Waziri Nape

Ameongeza kuwa utekelezaji wa mfumo huu wa anwani za makazi ungetekelezwa na wakandarasi ungetumia zaidi ya shilingi bilioni 700 ila Serikali itatumia shilingi bilioni 28 tu kwa kuwa mfumo huu wa operesheni ya anwani za makazi ni mali ya wananchi na utatekelezwa na wananchi wenyewe mpaka kwenye ngazi ya Serikali ya Mitaa/Shehia na utasimaimwa na watendaji wa Serikali ya Mitaa/Shehia wenyewe

Naye Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Amour Bakari amesema kuwa Wizara hizi zenye dhamana ya Mawasiliano ikiwemo Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ya Tanzania Bara zinawajibika kuhakikisha kuwa anwani za makazi zinatekelezwa kwa kuwa anwani za makazi zinawezesha mwananchi kupata, kupokea na kufikisha huduma au bidhaa hivyo tunapaswa kuwa na anwani za makazi kwa kuwa anwani ni nyenzo muhimu ya mawasiliano nchini na hadi sasa jumla ya shehia 30 kati ya shehia 338 za Zanzibar zina anwani za makazi ambayo ni sawa na asilimia 7 tu.

Katika kikao kazi hicho, wataalam wa kutoka Wizara na taasisi za SMZ waliwasilisha taarifa kuhusu hatua iliyofikiwa ya maandalizi ya Sensa ya Watu na Makaazi ya Mwaka 2022; Sensa ya Majengo; na taarifa ya utekelezaji wa mfumo wa anwani za makazi ambapo kwa upande wa Tanzania Bara, mtaalam wa TEHAMA, Fredrick Apina kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari aliwasilisha kwa viongozi hao namna mfumo wa NaPA unavyofanya kazi ikiwemo ukusanyaji wa taarifa na matumizi yake kwa mwananchi katika shughuli za kiuchumi na kijamii ambapo mfumo huu unamwezesha mwananchi kupata anwani za maeneo mbali mbali na huduma zinazotolewa mahali alipo au yaliyo jirani nae

Kikao kazi hicho kimehudhuriwa na Mawaziri, Makatibu Wakuu, Makamisaa wa Sensa; Makatibu Tawala wa Mikoa; Wakuu wa Wilaya; Makatibu Tawala wa Wilaya; Wakurugenzi wa Miji; Mabaraza ya Manispaa na Halamashauri za Wilaya; Wakurugenzi na Wakuu wa taasisi za Serikali uliofanyika kwenye ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul Wakil, Zanzibar.

About the author

Alex Sonna