Mdudu jamii ya panzi maarufu kama mdudu kijiti aliyekuwa akitunzwa amemshangaza mmiliki wake baada ya kugundua kuwa ni nusu mwanaume, nusu mwanamke kitaalamu hujulikana kama gynandromorph.

Wataalamu katika Makumbusho ya historia ya asili walithibitisha kuwa ilikuwa mdudu wa kwanza wa aina hiyo kuripotiwa kuwa na sifa za kike na kiume ‘gynandromorph’ kwa pamoja.

Mmiliki wake Lauren Garfield amewapa jumba la makumbusho la London mdudu huyo kwa ajili ya utafiti wa kisayansi.

Previous articlePATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JUMATATU FEBRUARI 21,2022
Next articleKAMBI YA SKAUTI YA KIMATAIFA KUJENGWA CHIGONGWE DODOMA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here