Jumanne, Novemba 24, 2026
HABARI MPYA

Habari za Hivi Punde

Featured

WAZIRI MKUU ARIDHIA KUONGEZA SIKU SABA KWA KAMATI MAALUMU YA KUCHUNGUZA MAUAJI MTWARA, KILINDI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameridhia kuongeza muda wa siku saba kwa kamati maalum iliyopewa jukumu la kuchunguza mauaji yaliyofanyika Mtwara na Kilindi, Tanga.   Kamati hiyo iliyoanza kazi Februari 4, 2022 ilipaswa kukamilisha ripoti yake ndani ya siku 14, zilizoishia…

Soma zaidi » WAZIRI MKUU ARIDHIA KUONGEZA SIKU SABA KWA KAMATI MAALUMU YA KUCHUNGUZA MAUAJI MTWARA, KILINDI