Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AWATEMBELEA MAWAZIRI WAKUU WASTAAFU

Written by mzalendoeditor

Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, David Cleopa Msuya, wakati alipomtembelea nyumbani kwake Upanga, jijini Dar es salaam Februari 21, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba, wakati alipomtembelea nyumbani kwake Oysterbay, jijini Dar es salaam Februari 21, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, David Cleopa Msuya, wakati alipomtembelea nyumbani kwake Upanga, jijini Dar es salaam Februari 21, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor