Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betpark

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

BENKI YA DUNIA YAIPATIA TANZANIA MKOPO NAFUU WA SH. TRILIONI 1.5 KUENDELEZA SEKTA ZA ELIMU NA ARDHI

Written by Alex Sonna

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Emmanuel Tutuba (kulia) na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Bi. Mara Warwick wakisaini mikataba miwili ya mkopo wenye masharti nafuu wenye thamani ya  dola za Marekani milioni 650 sawa na shilingi trilioni 1.501 kwa ajili ya kugharamia utekelezaji wa mradi wa kuboresha elimu ya msingi na mradi wa kuimarisha usalama wa milki za ardhi nchini.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Emmanuel Tutuba (kulia) na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Bi. Mara Warwick , wakibadilishana hati za mikataba miwili ya mkopo wenye masharti nafuu wenye thamani ya  dola za Marekani milioni 650 sawa na shilingi trilioni 1.501 kwa ajili ya kugharamia utekelezaji wa mradi wa kuboresha elimu ya msingi na mradi wa kuimarisha usalama wa miliki za ardhi nchini.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Emmanuel Tutuba (kulia) na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania, Mhe. Bi. Mara Warwick, wakionesha mikataba miwili ya mkopo wenye masharti nafuu wenye  thamani ya  dola za Marekani milioni 650 sawa na shilingi trilioni 1.501 kwa ajili ya kugharamia utekelezaji wa mradi wa kuboresha elimu ya msingi na mradi wa kuimarisha usalama wa miliki za ardhi nchini.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Emmanuel Tutuba, akizungumza wakati wa halfa ya utiaji saini wa mikataba miwili ya mkopo wenye masharti nafuu wenye thamani ya dola za Marekani milioni 650 sawa na shilingi trilioni 1.501 kwa ajili ya kugharamia utekelezaji wa mradi wa kuboresha elimu ya msingi (BOOST) na mradi wa kuimarisha usalama wa milki za ardhi nchini, jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania  Bi. Mara Warwick, akizungumza wakati wa halfa ya utiaji saini wa mikataba miwili ya mkopo wenye masharti nafuu wenye thamani ya dola za Marekani milioni 650 sawa na shilingi trilioni 1.501 kwa ajili ya kugharamia utekelezaji wa mradi wa kuboresha elimu ya msingi na mradi wa kuimarisha usalama wa milki za ardhi nchini, jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Allan Kijazi,akizungumza wakati wa halfa ya utiaji saini wa mikataba miwili ya mkopo wenye masharti nafuu wa dola za Marekani milioni 650 sawa na shilingi trilioni 1.501 kwa ajili ya kugharamia utekelezaji wa mradi wa kuboresha elimu ya awali na msingi (BOOST) na mradi wa kuimarisha usalama wa milki za ardhi nchini, jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Eliamani Sedoyekaakizungumza wakati wa halfa ya utiaji saini wa mikataba miwili ya mkopo yenye masharti nafuu wenye thamani ya dola za Marekani milioni 650 sawa na shilingi trilioni 1.501 kwa ajili ya kugharamia utekelezaji wa mradi wa kuboresha elimu ya awali na msingi (BOOST) na mradi wa kuimarisha usalama wa milki za ardhi nchini, jijini Dar es Salaam.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Amina Shaabani( wa kwanza kushoto),  Kamishana wa Fedha za Nje wa Wizara hiyo Bi. Sauda Msemo na Kamishna Msaidizi wa Wizara hiyo Bw. Robert Mtengule wakifuatilia hafla ya utiaji saini wa mikataba miwili ya mkopo wenye masharti nafuu wenye thamani ya dola za Marekani milioni 650 sawa na shilingi trilioni 1.501 kwa ajili ya kugharamia utekelezaji wa mradi wa kuboresha elimu ya Awali na  Msingi (BOOST) na mradi wa kuimarisha usalama wa milki za ardhi nchini, jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Emmanuel Tutuba (wa tatu kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Bi. Mara Warwick (wa nne kushoto), pamoja na watumishi wa Wizara ya Fedha na Mipango baada ya kusainiwa mikataba miwili ya mkopo wenye masharti nafuu wenye thamani ya dola za Marekani milioni 650 sawa na shilingi trilioni 1.501 kwa ajili ya kugharamia utekelezaji wa mradi wa kuboresha elimu ya Awali na Msingi (BOOST) na mradi wa kuimarisha usalama wa milki za ardhi nchini, jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Emmanuel Tutuba (wa tatu kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Bi. Mara Warwick( wa nne kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Benki ya Dunia Ofisi ya Dar es Salaam baada ya kusainiwa mikataba miwili ya mkopo wenye masharti nafuu wa dola za Marekani milioni 650 sawa na shilingi trilioni 1.501 kwa ajili ya kugharamia utekelezaji wa mradi wa kuboresha elimu ya Awali na Msingi na mradi wa kuimarisha usalama wa milki za ardhi nchini, jijini Dar es Salaam.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Wizara ya Fedha na MIpango)

…………………………………………………

Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam

TANZANIA na Benki ya Dunia zimetiliana saini mikataba miwili ya mkopo wenye masharti nafuu wenye thamani ya dola za Marekani milioni 650 sawa na shilingi trilioni 1.5 za kitanzania kwa ajili ya kugharamia utekelezaji wa mradi wa kuboresha elimu ya msingi (BOOST) na mradi wa kuimarisha usalama wa umiliki wa ardhi nchini.

Mikataba hiyo imesainiwa na Katibu Mkuu na Mlipaji Mkuu wa Serikali kutoka Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Emmanuel Tutuba kwa niaba ya Serikali na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Bi. Mara Warwick.

Akizungumza baada ya kusainiwa kwa mikataba hiyo, Bw. Tutuba alisema kuwa fedha hizo zimetolewa na Benki ya Dunia kupitia mgao wa masharti nafuu wa Mzunguko wa IDA 19, ambapo dola za Marekani milioni 500 zitatumika kuboresha elimu ya msingi na kiasi kingine cha dola za Marekani milioni 150 kitatumika kuimarisha usalama wa milki za ardhi hapa nchini.

Bw. Tutuba alisema kuwa miradi iliyo chini ya Mikataba iliyosainiwa inatekeleza Mpango wa Tatu wa Taifa wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2021/22–2025/26) na ni sehemu ya ajenda kuu ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mh. Rais Samia Suluhu Hassan, inayolenga kujenga uchumi shindani wa viwanda kwa maendeleo ya watu kupitia mikakati mbalimbali.

Alifafanua kuwa katika sekta ya elimu ya msingi, fedha hizo zitatumika kuboresha na kusimamia mazingira shirikishi ya kufundishia na kujifunzia, kuboresha uwezo wa walimu, kukuza na kuhamasisha matumizi ya TEHAMA katika shule za awali na msingi.

Mradi wa BOOST unakusudia kuboresha usawa katika upatikanaji wa elimu bora ya awali na msingi kwa upande wa Tanzania Bara ukiwemo ujenzi wa vyumba 12,000 vya madarasa pamoja na vifaa vinavyohitajika vya elimu; usimikaji wa mifumo na usambazaji wa vifaa vya TEHAMA katika shule na vyuo vya ualimu 800 kwa pamoja; na kuongeza uandikishaji wa wanafunzi kwa shule za awali na msingi.  

Bw. Tutuba alisema kuwa katika sekta ya ardhi, kazi zitakazofanyika ni kukuza na kuwezesha upangaji, upimaji na utoaji hatimiliki za ardhi kwa ajili ya uwekezaji na usalama wa makazi ya watu, kuboresha na kuongeza mfumo unganishi wa taarifa za usimamizi wa ardhi na kukuza matumizi ya TEHAMA katika upimaji na uandaaji wa hatimiliki ya ardhi.

“Mradi huu unatarajia kunufaisha nchi kupitia ongezeko la usalama wa umiliki katika wilaya 40 zilizochaguliwa, kwa kutoa hati za Kimila ya Kumiliki Ardhi Vijijini (CCROs), hati za Kumiliki Ardhi Mijini (CROs) na Leseni za Makazi. Aidha, mradi utaongeza ufanisi wa usimamizi wa taarifa za ardhi kupitia uboreshaji wa Mfumo wa Kidijitali wa Taarifa za Ardhi (ILMIS) na utengenezaji wa ramani za msingi (Base Maps)” alifafanua Bw. Tutuba.

Bw. Tutuba alisema kuwa kusainiwa kwa mikataba hiyo miwili kumefanya kiwango fedha kilichowekezwa na Benki ya Dunia hapa nchini kufikia dola za Marekani bilioni 6.15 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika Nyanja mbalimbali.

“Kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, napenda kukushukuru wewe binafsi Bi. Mara Warwick, na kupitia kwako, Benki ya Dunia, kwa mikopo hii muhimu ambayo imekuja katika wakati muafaka” alisema Bw. Tutuba

Aliwaagiza Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Allan Kijazi na Katibu MKuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Eliamani Sedoyeka wakasimamie ukamilishaji kwa masharti yote ya awali (conditions of effectiveness) kwa wakati ili kuwezesha kuanza rasmi kwa utekelezaji wa miradi hiyo miwili.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia hapa nchini Bi. Mara Warwick alisema kuwa Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuboresha elimu na kwamba fedha zilizotolewa na Benki hiyo kama mkopo nafuu zitawanufaisha zaidi ya wanafunzi 12,000 wanaosoma masomo ya awali na elimu ya msingi.

Bi. Warwick alisema pia kuwa Benki ya Dunia imeidhinisha mkopo wa dola za Marekani milioni 150 kwa sababu mpango wa kuimarisha masuala ya ardhi utawanufaisha zaidi ya wananchi milioni 2 hususan waishio vijiji kwa kupatiwa hatimiliki za kimila zaidi ya 500,000 kwenye mikoa 14 yenye wilaya 40.

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Elirehema Sedoyeka alisema kuwa dola za Marekani milioni 500 sawa na shilingi za Tanzania trilioni 1.15 zitatumika

Naye Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Allan Kijazi alisema kuwa kiasi cha dola za Marekani milioni 150 zilizoelekezwa katika kuimarisha sekta ya ardhi, zitatumika kusimika mifumo ya kielektroniki katika mikoa 24 kwa kujenga ofisi za ardhi na kufanya ufuatiliaji na tathimini ya mradi.

Alisema kuwa kiasi cha dola milioni 71.9 kitatumika kuongeza usalama wa ardhi, dola milioni 33.1 (menejimenti ya mifumo) dola milioni 24.7 (Maendeleo ya ardhi), dola milioni 12.7 (Menejimenti ya mradi) na dola za Marekani milioni 7.5 zitaelekezwa kwenye masuala ya dharura na kwamba mradi huo utakapokamilika utaongeza mapato ya Serikali kupitia kodi ya pango la ardhi na mapato mengine ya Serikali.

About the author

Alex Sonna