MAAJABU MOROGORO:MWILI WA MAREHEMU WAFUKULIWA, WAZIKWA KWENYE MAKABURI MAWILI
Mwili wa aliyekuwa mkazi wa Kihonda Mizani, Mark Mkude (67) umelazimika kuzikwa katika kaburi mbili tofauti kutokana na awali kuzikwa katika kaburi lililoandaliwa kwa ajili ya kuzikwa mwili wa aliyekuwa mkazi wa Bigwa Soko Manispaa ya Morogoro, Gervas Chondomba (71)…









