SERIKALI YAANZISHA ENEO MAALUM LA UWEKEZAJI LA EPZA JIJINI DODOMA KWA AJILI YA KUJENGA KONGANI ZA VIWANDA
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashantu Kijaji akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Athony Mtaka wakikagua eneo maalum la uwekezaji (SEZ) lenye ukubwa wa hekari 1500 katika eneo la viwanda Nala lililotolewa na Ofisi ya…






