Uncategorized

MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS SAMIA KATIKA MKUTANO WA AQABA PROCESS NCHINI JORDAN

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mfalme Abdulla II wa Jordan katika mkutano  wa kujadili usalama kwenye eneo la Kusini Mashariki  mwa Afrika hususan nchini Msumbiji na maeneo jirani uliofanyika  Machi 24, 2022 kwenye mji wa Aqaba nchini Jordan. Katikati ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Mbarouk Nassor Mbarouk.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi  katika mkutano  wa kujadili usalama kwenye eneo la Kusini Mashariki  mwa Afrika hususan nchini Msumbiji na maeneo jirani uliofanyika  Machi 24, 2022 kwenye mji wa Aqaba nchini Jordan. Katikati ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Mbarouk Nassor Mbarouk.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor