TANZANIA YAJIPANGA KUHAMIA MFUMO WA KIMATAIFA WA UAINISHAJI WA MAGONJWA ICD-11
Na Atley Kuni, WAF-DODOMA Wizara ya Afya imetabaisha umuhimu wa kuhamia katika mfumo mpya wa kimataifa wa uainishaji wa magonjwa (ICD-11), kutoka mfumo wa sasa wa ICD-10, ili kuboresha usahihi wa takwimu za magonjwa na vifo, kuimarisha ufuatiliaji wa magonjwa…









