WAZIRI MKUU AIPONGEZA WHI KWA JUHUDI ZA KUIMARISHA UPATIKANAJI WA MAKAZI NCHINI
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameipongeza Watumishi Housing Investments (WHI) kwa juhudi zake za kuendeleza upatikanaji wa makazi bora na nafuu kwa Watanzania kupitia miradi mbalimbali inayotekelezwa katika mikoa tofauti nchini. Dkt. Mwigulu ametoa…









