SIMBA YA KIMATAIFA YAICHAPA 3-1 ASEC MIMOSAS KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA
…………………………………………….. WAWAKILISHI Pekee ukanda wa Afrika Mashariki na Kati Timu ya Simba wameanza vyema katika Michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya kuichapa mabao 3-1 Asec Mimosas kutoka Ivory Coast mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar…




