Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Balozi Mbwela Kairuki, Balozi wa Tanzania niching Uingereza mara baada ya kuwasili nchini Uingereza ambapo atakuwa mgeni rasmi katika jukwad la Uwekezaji la Tanzania nchini Uingereza. Oktoba 7, 2026. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU).

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Balozi Said Nasib Mussa, Naibu katibu Mkuu Wizara ya Mmambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mahariki mara baada ya kuwasili nchini Uingereza ambapo atakuwa mgeni rasmi katika jukwad la Uwekezaji la Tanzania nchini Uingereza. Oktoba 7, 2026. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU).

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na baadhi ya maafisa wa Ubalozi wa Tanzania Nchini Uingereza mara baada ya kuwasili nchini Uingereza ambapo atakuwa mgeni rasmi katika jukwad la Uwekezaji la Tanzania nchini Uingereza. Oktoba 7, 2026. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU).