Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Grandpashabet kimin

deneme bonusu

İkimisli

onwin

grandpashabet

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

jojobet

nitrobahis

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet giriş

mavibet

cratosroyalbet

piabellacasino

mavibet

cratosroyalbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

Grandpashabet Güncel Giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

bets10

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

dinimi sitiliri

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

piabellacasino

nerobet

cratosroyalbet

nitrobahis

cratosroyalbet giriş

mavibet

Meritking

meritking

สล็อตเว็บตรง

bets10

tarafbet

jojobet

holiganbet

meritking giriş

trust score weak 3

jojobet

Holiganbet Giriş

tipobet

cratosroyalbet

mavibet

jojobet giriş

jojobet adres

jojobet giriş

jojobet telegram

marsbahis giriş

jojobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

caddebet, caddebet giriş

betgar

betsat

grandpashabet

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

lunabet

jojobet

casibom

bets10 güncel giriş adresi

bets10

jojobet

jojobet giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

sweet bonanza siteleri

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

piabet

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

Google

casinoroyal

primebahis

marsbahis

turkey dental implants cost

Doctors | Akdeniz University Hospital Login

deneme bonusu veren siteler

casino siteleri

casibom

casibom giriş

dental implants turkey clinics

casibom güncel giriş

betflix giriş

turkey dental implants

deneme bonusu

wbahis

imajbet

grandpashabet

jojobet

casinowon

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

mavibet

marsbahis

marsbahis

meritking giriş

meritking

meritking giriş

marsbahis

meritking

jojobet

jojobet güncel

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

marsbahis

Hacklink panel

zirvebet

holiganbet

Google

meritking

jojobet

jojobet adres

jojobet giris

jojobet giris

jojobet para çekme

jojobet güncel

jojobet giris

jojobet giris

jojobet

matbet

otobet

otobet giriş

betturkey

betturkey giriş

sahabet

meritking

marsbahis giriş

truvabet

mavibet

mavibet

mavibet

Bet365 Giriş

ilbet

ilbet giriş

betflix

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

cratosroyalbet

piabellacasino

robinbet

tipobet

holiganbet

porno izle

bets10

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betebet

jojobet

jojobet erişim

jojobet adres

jojobet para yatırma

jojobet giris

casibom güncel giriş

jojobet adres

jojobet oyunlar

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet son giriş

jojobet canlı bahis

jojobet aninda

jojobet bonuslar

jojobet bahis

jojobet casino

jojobet adres

jojobet telegram

giriş jojobet

marsbahis

jojobet giris

marsbahis

jojobet vip giriş

jojobet tik giriş

jojobet adres

jojobet gir

jojobet giris

güncel giriş burada jojobet

jojobet telegram

jojobet heyecan

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet güncel

jojobet güncel

goldenbahis

coinbar

betcio, betcio giriş

galabet, galabet giriş

deneme bonusu

jojobet giriş

grandpashabet

gorabet

jojobet

https://sjconsultors.com/

mavibet giriş

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

starzbet

pusulabet

betbox

casibom

marsbahis

marsbahis giriş

dedektör

vdcasino

Uncategorized

RAIS SAMIA KUBARIKI JUKWAA LA KODI NA UWEKEZAJI

Written by mzalendo
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha bw. Elijah Mwandumbya, akizungumza na waaandishi wa habari katika Ukumbi wa Hazina Ndogo, jijini Arusha, kuhusu Jukwaa la Kodi na Uwekezaji Kitaifa 2024 linalotarajiwa kufanyika siku ya tarehe 27 – 28 Februari, 2024, katika ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, ambalo limeandaliwa na Wizara ya Fedha kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji pamoja na Sekta Binafsi.
Baadhi ya waandishi wa habari wakichukua matukio wakati wa mkutano na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bw. Elijah Mwandumbya, alipokutana na kuzungumza na waandishi wa habari kuhusu Jukwaa la Kodi na Uwekezaji Kitaifa 2024 linalotarajiwa kufanyika siku ya tarehe 27 – 28 Februari, 2024, katika ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, katika ukumbi wa Hazina ndogo Jijini Arusha.
 
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Arusha)
Na. Saidina Msangi, WF, Arusha.
 
Rais wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Jukwaa la Kodi kitaifa lililoandaliwa na Wizara ya Fedha kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji pamoja na Sekta Binafsi linalotarajiwa kukutanisha wadau mbalimbali  wa kodi.
 
Hayo yameeelezwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bw. Elijah Mwandumbya, alipokutana na kuzungumza na waandishi wa Habari jijini Arusha, katika ukumbi wa Hazina Ndogo, kuhusu Jukwaa la Kodi na Uwekezaji Kitaifa 2024 linalotarajiwa kufanyika tarehe 27 – 28 Februari, 2024, katika ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
 
‘’Serikali imeshirikisha Sekta Binafsi katika hatua zote za maandalizi ikijumuisha ziara za Kikanda ambazo zilifanyika kuanzia tarehe 20 Novemba, 2023 hadi tarehe 07 Desemba, 2023 katika Kanda za Kaskazini (Arusha), Kanda ya ziwa (Mwanza na Shinyanga), Kanda ya Magharibi (Kigoma), Kanda ya Nyanda za Juu Kusini (Mbeya), na Kanda ya Kusini (Mtwara)’’, alisema Bw. Mwandumbya.
 
Alisema kuwa Wizara ya Fedha ina jukumu la kuratibu upatikanaji wa maoni ya wadau, kuchakata maoni hayo na hatimaye kuwasilisha kwenye Kamati ya Ushauri wa Kodi mapendekezo mbalimbali ya sera za kodi yanayotarajiwa kufanyika katika mwaka wa fedha unaofuata.
 
‘’Kila mwaka Kamati hii imekuwa ikipokea maoni ya wadau, kufanya uchambuzi, na kufanikisha majadiliano ya masuala mbalimbali yanayohusiana na sera za kodi na usimamizi wake ambayo yamekuwa na mchango mkubwa kwetu waandaa sera na yamesaidia katika kuunda mfumo wa kodi ambao umewezesha utatuzi wa masuala mbalimbali ya kodi kwa ufanisi na uwazi’’, alifafanua Bw. Mwandumbya.
 
Bw. Mwandumbya aliongeza kuwa katika kupanua wigo wa kupata maoni ya wadau, Wizara ya Fedha ilianzisha Jukwaa la Kodi Kitaifa (National Tax Forum) mwaka 2023, ambalo kwa mara ya kwanza lilifanyika tarehe 11 Januari 2023, Jijini Dar es salaam, ambalo maoni yaliyopokelewa yalitumika katika maandalizi ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2023/24 inayotekelezwa hivi sasa.  
 
Alifafanua kuwa Jukwaa hilo limeongeza ushirikishwaji wa sekta binafsi katika maandalizi ya Bajeti Kuu ya Serikali ambapo maoni yaliyotolewa yalilenga kuboresha mazingira ya ufanyaji biashara na uwekezaji, kulinda viwanda vya ndani, kuvutia uwekezaji nchini na kuongeza ushindani wa viwanda vya ndani.
 
‘‘Baadhi ya maeneo yaliyofanyiwa kazi ni pamoja na kuongeza kima cha usajili wa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kutoka shilingi milioni 100 hadi milioni 200; kuanzisha utaratibu wa kufanya marekebisho kwenye viwango vya ushuru wa bidhaa kila baada ya miaka mitatu kwa ajili ya utulivu wa kisera; kuondoa VAT kwenye malighafi zinazotumika kutengeneza vifungashio vya dawa pamoja na  kuondoa ada ya ukaguzi kwenye madini yanayouzwa kwenye vituo vya kusafishia madini nchini’’, alifafanua Bw. Mwandumbya.
 
Aidha, Bw. Mwandumbya alitoa rai kwa wananchi kutumia fursa iliyotolewa na Serikali kwa kila mmoja kutoa maoni na kuwasilisha mapendekezo yake ya kuboresha sera za kodi na uwekezaji kupitia dirisha la kidigitali kwa ku-scan QR code iliyoambatishwa kwenye tangazo ambalo tayari linasambazwa kupitia mitandao ya kijamii.
 
Kauli Mbiu ya Jukwaa la Kodi na Uwekezaji Kitaifa mwaka huu ni  ” Mageuzi ya Sera za Uwekezaji, Ukusanyaji wa Mapato ya Ndani na Ukuaji wa Uchumi Jumuishi’’.

About the author

mzalendo