Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Featured Kitaifa

EWURA YATOA VIFAA TIBA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA NYAMAGANA

Written by Alex Sonna
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetoa msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi milioni 5.2 kwa hospitali ya Wilaya ya Nyamagana ili kuboresha huduma za afya za akina mama wanaojifungua  katika hospitali hiyo.
Msaada huo unaolenga kugharamua ununuzi wa mashine za kisasa za kupima presha ( Digital BP Machines) sita, viti mwendo ( wheel chairs) viwili, vitanda vya uchunguzi ( examination beds) vinne na vifaa vya kujifungulia ( delivery kits) kumi( 10) umekabidhiwa kwa Mganga Mkuu wa jiji la Mwanza, Dkt Pima Sebastian na Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Amina Makilagi wakati akifungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa EWURA kinachofanyika jijini Mwanza.
“ EWURA mmetutoa kimasomaso, kwa kweli mmeshirikiana nasi kwenye mambo mengi katika mkoa wetu wa Mwanza, ujenzi wa madarasa, ujenzi wa ofisi na sasa kuokoa maisha ya watanzania wenzetu, tunawashukuru sana, tunaomba muendelee na moyo huo, na nitoe mwito msaada huu uwe chachu ya kuboresha huduma zetu”. Alisema Mhe.Makilagi
Kaimu Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa EWURA, Mha. Poline Msuya, akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa EWURA na Mwenyekiti wa Baraza, Dkt James Andilile, alieleza  kuwa, EWURA imekua na utaratibu wa kutoa misaada kwa kadiri inavyowezekana katika nyanja mbalimbali kwenye jamii ikiwamo afya, elimu, majanga na maeneo mangine kadha wa kadha ili kuonesha athari ya udhibiti kwenye  kuimarisha huduma mbalimbali zinazoigusa jamii moja kwa moja. 
“ Sisi EWURA, tunamuunga mkono Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan katika kuboresha huduma mbalimbali ikiwamo afya, hivyo tumeona kwa kipindi hiki tushirikiane na wenzetu wa Mwanza katika kutatua changamoto kiasi kwenye hospitali ya Nyamagana”. Alieleza Mha. Msuya
Alizungumza baada ya kupokea mfano wa hundi ya msaada huo, Mganga Mkuu wa Jiji la Mwanza, Dkt Pima Sebastian ameahidi kuwa, atahakikisha vifaa tiba vitakavyonunuliwa,vinatumika kwa lengo lililokusudiwa.
“Ninatoa pongezi kwa utendaji uliotukuka wa EWURA, na ninatoa shukrani za dhati kwa msaada huu, ambao utatusaidia kwa kiasi kikubwa, ninaahidi malengo kusudiwa yatatekelezwa”. Alieleza Dkt Sebastian 
Aidha, Mganga Mkuu huyo alieleza kwamba, wanawake takribani 600 hujifungua katika hospitali ya Nyamagana kwa mwezi, na kwamba hospitali hiyo hutoa huduma ya kliniki kwa mama wajawazito kati ya 3500-4500 kwa kipindi hicho, hivyo uhitaji wa vifaa tiba bado ni mkubwa.

About the author

Alex Sonna