Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

Grandpashabet Güncel Giriş

jojobet

holiganbet

jojobet

betsat

sahabet

jojobet

grandpashabet

ultrabet giriş

lunabet

avrupabet

setrabet

jojobet giriş

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

mavibet

kavbet

piabellacasino giriş

pashagaming

casinoroyal

teosbet

piabellacasino

norabahis

artemisbet

piabellacasino

casinoroyal

almanbahis

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

mariobet

jojobet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

meritking giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark giriş

bets10

dinamobet giriş

jojobet

casibom

ultrabet

goldenbahis

jojobet

jojobet

casibom

casibom

berlinbet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

betixir

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu veren siteler

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

casibom

royalbet

casibom

kafacasino

betface

pashagaming

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betpark

holiganbet

vdcasino

jojobet

casibom

maxwin

Gorabet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

betwoon

giftcardmall/mygift

Featured Kitaifa

TANZANIA NA UTURUKI ZASAINI MIKATABA KUONDOSHA UTOZAJI WA KODI MARA MBILI

Written by Alex Sonna

Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) na Balozi wa Uturuki nchini, Mhe. Balozi Dkt. Bekir Gezer, wakisaini Mikataba ya Kuondoa Utozaji wa Kodi Mara Mbili na Kuzuia Ukwepaji wa Kodi katika Mapato (DTA), katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam, ambapo hatua  hiyo inatarajiwa kuchochea uwekezaji na biashara kati ya mataifa hayo mawili.

Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) na Balozi wa Uturuki nchini, Mhe. Balozi Dkt. Bekir Gezer, wakibadilishana Mikataba ya Kuondoa Utozaji wa Kodi Mara Mbili na Kuzuia Ukwepaji wa Kodi katika Mapato (DTA), baada ya kusaini mikataba hiyo katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam, ambapo hatua hiyo inatarajiwa kuchochea uwekezaji na biashara kati ya mataifa hayo mawili.

Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (Kulia) na Balozi wa Uturuki nchini, Mhe. Balozi Dkt. Bekir Gezer, wakionesha Mikataba ya Kuondoa Utozaji wa Kodi Mara Mbili na Kuzuia Ukwepaji wa Kodi katika Mapato (DTA), baada ya kusaini mikataba hiyo katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam, ambapo hatua hiyo inatarajiwa kuchochea uwekezaji na biashara kati ya mataifa hayo mawili.

Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akimkabidhi zawadi ya picha yenye vielelezo vya utalii wa Tanzania, Balozi wa Uturuki nchini, Mhe. Balozi Dkt. Bekir Gezer, baada ya kusaini Mikataba ya Kuondoa Utozaji wa Kodi Mara Mbili na Kuzuia Ukwepaji wa Kodi katika Mapato (DTA), katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam, ambapo hatua hiyo inatarajiwa kuchochea uwekezaji na biashara kati ya mataifa hayo mawili.

Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (Kulia) akimkabidhi Zawadi ya baadhi ya bidhaa za kilimo zinazozalishwa nchini, Balozi wa Uturuki nchini, Mhe. Balozi Dkt. Bekir Gezer, baada ya kusaini Mikataba ya Kuondoa Utozaji wa Kodi Mara Mbili na Kuzuia Ukwepaji wa Kodi katika Mapato (DTA), katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam, ambapo hatua hiyo inatarajiwa kuchochea uwekezaji na biashara kati ya mataifa hayo mawili.

Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akihutubia baada ya hafla ya  kusaini Mikataba ya Kuondoa Utozaji wa Kodi Mara Mbili na Kuzuia Ukwepaji wa Kodi katika Mapato (DTA) Kati ya Tanzania na Uturuki, katika ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam, ambapo amesema Mikataba hiyo inalenga kuongeza imani kwa wawekezaji kwa kuondoa hatari ya mapato kutozwa kodi mara mbili katika nchi mbili tofauti hatua hiyo inatarajiwa kuchochea uwekezaji na biashara kati ya mataifa hayo mawili.

Balozi wa Uturuki nchini, Mhe. Balozi Dkt. Bekir Gezer, akizungumza baada ya hafla ya  kusaini Mikataba ya Kuondoa Utozaji wa Kodi Mara Mbili na Kuzuia Ukwepaji wa Kodi katika Mapato (DTA) Kati ya Tanzania na Uturuki, katika ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam, ambapo hatua hiyo inatarajiwa kuchochea uwekezaji na biashara kati ya mataifa hayo mawili.

Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) na Balozi wa Uturuki nchini, Mhe. Balozi Dkt. Bekir Gezer (walioketi), wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi waandamizi wa Serikali ya Tanzania kutoka Wizara ya Fedha, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Serikali ya Uturuki, baada ya hafla ya utiaji saini Mikataba ya Kuondoa Utozaji wa Kodi Mara Mbili na Kuzuia Ukwepaji wa Kodi katika Mapato (DTA), iliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam, ambapo hatua hiyo inatarajiwa kuchochea uwekezaji na biashara kati ya mataifa hayo mawili. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dar es Salaam.

………

Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Uturuki zimesaini Mikataba miwili ya Kuondoa Utozaji wa Kodi Mara Mbili na Kuzuia Ukwepaji wa Kodi katika Mapato (DTA), hatua inayotarajiwa kuchochea uwekezaji na biashara kati ya mataifa hayo mawili.

Akizungumza katika hafla ya utiaji Saini wa Mkataba huo iliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam, Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), alisema kuwa mkataba huo ni wa Kumi na Tatu (13) kwa Tanzania na mataifa mbalimbali na unalenga kuongeza imani kwa wawekezaji kwa kuondoa hatari ya mapato kutozwa kodi mara mbili katika nchi mbili tofauti.

Mhe. Balozi Omar alisisitiza kuwa, mikataba ya aina hiyo inapounganishwa na mikataba ya kulinda uwekezaji (BITs), huwa kichocheo muhimu cha ukuaji wa uchumi kupitia kuimarisha mtiririko wa uwekezaji na biashara.

“Tafiti zinaonesha nchi zenye mikataba madhubuti ya kodi mara mbili huvutia uwekezaji wa moja kwa moja kutoka nje (Foreign Direct Investment-FDI) kwa kiwango kikubwa zaidi, hali inayoiweka Tanzania katika nafasi nzuri ya kuvutia mitaji kutoka Uturuki na mataifa mengine” alisema Mhe. Balozi Omar.

Aidha Mhe. Balozi Omar alibainisha kuwa, licha ya Tanzania na Uturuki kuwa na mkataba wa kulinda uwekezaji tangu mwaka 2011, kukosekana kwa Mkataba wa Kuondoa Utozaji Kodi Mara Mbili, kulikuwa pengo ambalo sasa limezibwa na hatua hiyo inatoa ujumbe wa wazi kwa wawekezaji wa Uturuki kuwa Tanzania iko tayari kupokea na kuendeleza biashara.

Aliongeza kuwa, uhusiano wa kiuchumi kati ya nchi hizo mbili umeendelea kukua hasa kufuatia ziara ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan nchini Uturuki mwaka 2024, ambapo biashara kati ya nchi hizo ilifikia dola za Marekani milioni 281.68, huku Uturuki ikisafirisha bidhaa nyingi zaidi ikilinganishwa na Tanzania.

“Serikali inaendelea kuboresha mazingira ya biashara kupitia mageuzi mbalimbali ikiwemo kurahisisha usajili wa biashara, kidijitali mifumo ya kodi na forodha, pamoja na maboresho ya sheria za ardhi, ajira na utatuzi wa migogoro ya kibiashara na juhudi hizi zimeanza kuzaa matunda, huku Tanzania ikitajwa kuwa miongoni mwa nchi zinazoongoza kwa kuvutia uwekezaji katika Ukanda wa Kusini mwa Jangwa la Sahara” alisema Mhe. Balozi Omar

Kwa Upande wake Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Said Shaib Mussa, alisema Tanzania na Uturuki zimekuwa na uhusiano wa muda mrefu na wenye tija tangu kuanzishwa rasmi kwa mahusiano ya kidiplomasia mwaka 1963 na kwa miongo kadhaa, ushirikiano huo umeendelea kupanuka na kugusa sekta mbalimbali muhimu ikiwemo biashara, uwekezaji, elimu, afya, usafirishaji, ulinzi pamoja na maendeleo ya kijamii.

Mhe. Balozi Mussa alisema utiaji wa Saini wa Mikataba hiyo ni hatua muhimu ya kutekeleza kwa vitendo makubaliano ya ushirikiano wa pande mbili yaliyosainiwa mwaka 2025, kufuatia ziara ya kihistoria ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan nchini Uturuki mwaka 2024.

“Lengo kuu ni kubadilisha makubaliano ya kisiasa kuwa matokeo halisi kwa kuweka mkakati wa pamoja wa biashara na uwekezaji wenye thamani ya dola bilioni moja, na baada ya utiaji Saini utafuata mkutano wa Tume ya Pamoja ambao unatoa fursa ya kupitia utekelezaji, kubaini maeneo mapya ya kipaumbele na kuimarisha ushirikiano katika sekta za kimkakati kama viwanda, kilimo, utalii, nishati na maendeleo ya rasilimali watu” Alisema Mhe. Balozi Mussa

Kwa upande wake, Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Dkt. Bekir Gezer,amesema kuwa Mikataba hiyo itasaidia kuimarisha zaidi ushirikiano wa kidiplomasia na kiuchumi kati ya nchi hizo mbili.

Tukio hilo lilihudhuriwa pia na Naibu Makatibu Wakuu wa Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya na Kaimu Naibu Katibu Mkuu, Bw. Rished Bade pamoja na Wakuu wa Idara na Wataalam wengine kutoka Wizara ya Fedha na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na kutoka Uturuki.

About the author

Alex Sonna