marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

jojobet

vdcasino

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

jojobet

holiganbet

casinomilyon

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

cratosroyalbet

marsbahis

marsbahis

artemisbet

artemisbet

kavbet giriş

mislibet

betra

kavbet

aresbet

jojobet

betasus giriş

holiganbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

betparibu, betparibu giriş

bekabet, bekabet giris

interbahis

Superbetin giriş

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

perabet

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet güncel giriş

betebet

betgar, betgar giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

starzbet

Gamdom

grandpashabet giriş

bets10

bets10

bets10

bets10 giriş

bets10

netbahis

netbahis giriş

casibom

royalbet

savoybetting

https://pasands.com/

يلا شوت

hantavirus token

restbet

deneme bonusu 2026

kralbet

Grandpashabet

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

parmabet

kavbet

kavbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet

artemisbet giriş

parmabet

parmabet giriş

mislibet

parmabet

vdcasino

marsbahis

Uncategorized

ZAO LA MKONGE LATAZAMWA KUONGEZA UZALISHAJI, SERIKALI YASUKUMA MAPINDUZI YA THAMANI

Written by Alex Sonna

Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo,akiwasilisha Hotuba ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 leo Aprili 28,2026 bungeni Dodoma.

Na.Alex Sonna,Mzalendo blog-DODOMA

Serikali kupitia Bodi ya Mkonge Tanzania imeweka mkakati kabambe wa kuongeza uzalishaji wa zao la mkonge nchini kutoka tani 64,321.77 zilizofikiwa mwaka 2025/2026 hadi tani 80,000 katika mwaka wa kilimo 2026/2027, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha sekta hiyo muhimu kiuchumi.

Hayo yamesemwa leo Aprili 28, 2026 bungeni Dodoma na Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo, wakati akiwasilisha hotuba ya bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027.

Amesema Katika kufanikisha lengo hilo, Bodi imepanga kusambaza miche ya mkonge milioni 3.5 kwa wakulima ili kuongeza maeneo ya uzalishaji na kuboresha tija mashambani.

Aidha, kwa kushirikiana na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), Serikali itatoa mafunzo kwa wadau 200 na Maafisa Ugani 50 kuhusu mbinu bora za uzalishaji na uongezaji thamani wa zao la mkonge, hatua inayolenga kuongeza ufanisi na ubora wa zao hilo sokoni.

Katika kuongeza thamani ya mkonge, Bodi itaendelea na ununuzi na usimikaji wa mashine 10 za kuchakata mkonge (dikotiketa) zenye uwezo wa kuchakata tani mbili kwa siku. Mashine hizo zitasimikwa katika mikoa ya Tanga, Morogoro, Shinyanga na Tabora, ili kurahisisha uchakataji wa zao hilo karibu na maeneo ya uzalishaji.

Vilevile, Serikali inakamilisha ujenzi wa vituo viwili vya kuchakata mkonge katika Wilaya za Mkinga na Handeni, hatua itakayosaidia kuongeza thamani ya zao hilo na kupunguza upotevu baada ya kuvunwa.

Katika kuimarisha masoko, Bodi ya Mkonge itaanzisha vituo 13 vya ukusanyaji na uuzaji wa mkonge kwa wakulima wadogo, sambamba na kuweka miundombinu ya uongezaji thamani kupitia mfumo wa brushing na baling katika mikoa ya Tanga, Pwani na Singida.

Hatua hizo zinalenga kuhakikisha wakulima wanapata masoko ya uhakika na bei nzuri ya mazao yao, huku pia zikichochea ushindani katika soko la mkonge ndani na nje ya nchi.

Kwa upande wa miundombinu ya viwanda, Serikali inakamilisha ujenzi wa ghala, ofisi na mifumo ya maji taka katika viwanda vya Taula na Kibaranga vilivyopo Handeni na Muheza, hatua inayolenga kuboresha mazingira ya uzalishaji.

Aidha, malipo ya mashine saba za kuchakata mkonge zinazomilikiwa na Kampuni ya Sisalana katika mashamba ya Hale, Magoma, Magunga, Ngombezi na Mwelya yamewekwa kipaumbele ili kuhakikisha zinaanza kufanya kazi kikamilifu.

Kwa ujumla, mikakati hiyo inaonesha dhamira ya Serikali ya kuifanya sekta ya mkonge kuwa moja ya injini muhimu za uchumi kupitia ongezeko la uzalishaji, uongezaji thamani na upatikanaji wa masoko ya uhakika kwa wakulima.

About the author

Alex Sonna