Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Uncategorized

“KUFIKIA MALENGO YA DIRA YA TAIFA 2050 NI MUHIMU KUFAHAMU KUWA, TAIFA LINAHITAJI ZAIDI YA UTAALAMU WETU WA SHERIA”– MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI

Written by Alex Sonna

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari amefungua mafunzo ya tatu ya Bespoke kwa Mawakili wa Serikali, yalioandaliwa na kuratibiwa na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ambayo yameanza tarehe 15 Julai, 2026 na yatahimishwa tarehe 17 Julai, 2026 katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano Arusha (AICC) Jijini Arusha.

Mhe. Johari amewasisitiza Mawakili wa Serikali kuhakikisha wanasimamia vyema Utawala wa Sheria katika maeneo yao ikiwa ni pamoja na kuishauri Serikali ipasavyo kuendelea kuzingatia sheria ili kufikia malengo ya Dira ya Taifa 2050.

“Nitumie fursa hii kuwakumbusha washiriki wote kuwa, tunapoendelea katika kufikia malengo ya Dira ya Taifa 2050 ni muhimu kufahamu kuwa, Taifa linahitaji zaidi ya utaalamu wetu wa sheria.” Amesema Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Aidha, Mhe. Johari amewakumbusha Mawakili wa Serikali kutambua nafasi yao katika utekelezaji wa Dira ya Taifa 2050, ambapo ameeleza kuwa utekelezaji wa malengo ya yake unategema kwa kiwango kikubwa uwezo wa Mawakili wa Serikali, pamoja na kuwa na mifumo ya kisheria itakayokwenda sambamba na kasi ya maendeleo na mabadiliko yanayoendelea nchini na duniani kote.

“Ni imani yetu kuwa, Dira hii itatekelezwa kwa kiwango kilichokusudiwa kwa kupitia Sheria bora, Sera madhubuti, Mikataba yenye tija, Mifumo bora ya utawala wa kisheria sambamba na taasisi zenye uwezo wa kutafsiri malengo ya maendeleo kuwa matokeo yanayoonekana kwa manufaa ya Taifa lote kwa ujumla.” Amesema Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Katika hatua nyingine, Mwanasheria Mkuu wa Serikali amewahimiza Mawakili wa Serikali kuzingatia matumizi ya teknolojia ambayo yamebadilisha kwa kiasi kikubwa utoaji wa huduma za kisheria ikiwemo matumizi ya Akili Mnemba na utoaji wa matumizi ya Ushahidi wa Kielektroniki.

“Mapinduzi ya teknolojia yamebadilisha kwa kiasi kikubwa, namna ambavyo huduma za kisheria zinaendelea kutolewa nchini na duniani kote kwa ujumla, hivyo katika mazingira haya, Mawakili wa Serikali na Maafisa Sheria hawawezi kuendelea kutekeleza majukumu yao ya kazi kwa kutumia mazoea ya zamani”. Amesema Mhe. Johari.

Vilevile, Mhe. Johari amewataka Mawakili wa Serikali kuendelea kufanya kazi kwa kuzingatia Uadilifu, Weledi, Uwajibikaji, Uzalendo na Nidhamu ili waweze kutoa ushauri wenye ubora na tija na Mikataba yenye manufaa kwa Taifa.

“Wananchi wanatarajia kuona rasilimali za umma zikilindwa kwa wivu mkubwa. Wananchi wanatarajia kuona Sheria zikitumika kama nyenzo ya maendeleo ya kufikia malengo ya Dira ya Taifa 2050.” Amesema Mhe. Johari.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali ametoa wito kwa Mawakili wa Serikali kuendelea kuyatumia mafunzo haya kama fursa ya kujifunza, kubadillishana uzoefu, kujenga mitandao ya kitaaluma, kuibua suluhisho za changamoto zinazowakabili Mawakili hao.

Kwa upande wake, Gavana Mstaafu wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Prof. Florens Luoga akitoa mada kuhusu “Nafasi ya Kimkakati ya Mawakili wa Serikali katika kufikia Dira ya Taifa 2050,” ambapo ameeleza nafasi waliyonayo Mawakili wa Serikali katika kufanya maboresho mbalimbali ya Kisheria ili kuweza kutimiza malengo ya Dira 2050.

“Wakili wa Serikali ana nafasi kubwa katika kuchangia maendeleo ya nchi na kulinda maslahi ya Taifa, kwakuwa ushauri wa kisheria anaoutoa ni kichocheo katika mageuzi ya kiuchumi.” Amesema Prof. Luoga

Awali, akimkaribisha Mgeni Rasmi, Mwandishi Mkuu wa Sheria Bw. Onorius Njole alimshukuru Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa kuwezesha kufanyika kwa mafunzo hayo muhimu kwa Mawakili wa Serikali ambayo yataleta mabadiliko katika utekelezaji wa majukumu yao.

Akiwakaribisha washiriki katika mafunzo ya tatu Bespoke, Mkurugenzi wa Uratibu na Huduma za Sheria, Bi. Neema Ringo eamelezea mafunzo haya yatasaidia kuwezesha Mawakili wa Serikali kupata uzoefu katika nyanja mbalimbali za kisheria, ambapo ameeleza kuwa wakufunzi mahiri watawasilisha mada mbalimbali kwa Washiriki wa Mafunzo ya Bespoke.

Msimu wa tatu wa Mafunzo ya Bespoke kwa Mawakili wa Serikali yamefunguliwa tarehe 15 Julai na yataendelea hadi tarehe 17 Julai, 2026 Jijini Arusha ambapo Mawakili wa Serikali wanatarajia kujifunza masuala mbalimbali ya kisheria na kiuchumi kutoka kwa Wakufunzi wabobevu wa Kitaifa na Kimataifa.

About the author

Alex Sonna