Uncategorized

MBUNGE SALEHE MHANDO AENDELEA KUWAFIKIA WANANCHI KILINDI, ASIKILIZA CHANGAMOTO ZAO

Written by Alex Sonna

Mbunge wa Jimbo la Kilindi mkoani Tanga Salehe Mbwana Mhando akiendelea kuwafikia Wananchi wa maeneo mbalimbali moja kwa moja hivi karibuni, pichani (mwenye koti) Mhe.Salehe akiwa katika kata ya Mkindi ndani ya jimbo hilo akijumuika na Wananchi kwa mazungumzo ikiwemo kusikiliza changamoto zao na kuzitafutia ufumbuzi.

About the author

Alex Sonna