marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

sapanca escort

sapanca escort

vdcasino

vdcasino

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

milanobet

holiganbet

casibom

dizipal

1xbet giriş

1xbet

tambet

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

perabet giriş

imajbet

grandbahis giriş

imajbet

grandbahis

imajbet giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

ultrabet, ultrabet giriş

tlcasino, tlcasino giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

starzbet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

aaa

pokerklas

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

deneme bonusu veren siteler

taksimbet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

vaycasino

trendbet

bets10

Milanobet

jojobet

cratosroyalbet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

betsat

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

padişahbet

holiganbet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

cratosroyalbet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

jojobet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

esbet

vdcasino

bets10 giriş

perabet

efesbet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

perabet

สล็อตเว็บตรง

zirvebet

casibom giriş

jojobet

bets10

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

sorgu paneli

galabet, galabet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

roketbet, roketbet giriş

betsat

holiganbet

betsat

betsat giriş

deneme bonusu veren siteler

tipobet giriş

casibom

kralbet

en iyi slot siteleri

Featured Kitaifa

SERIKALI YAPIGA HATUA KUIMARISHA ZAO LA PAMBA

Written by Alex Sonna

Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo,akiwasilisha Hotuba ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 leo Aprili 28,2026 bungeni Dodoma.

Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo,akiwasilisha Hotuba ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 leo Aprili 28,2026 bungeni Dodoma.

Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo,akiwasilisha Hotuba ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 leo Aprili 28,2026 bungeni Dodoma.

Na.Alex Sonna,Mzalendo blog-DODOMA

Serikali kupitia Wizara ya Kilimo na Bodi ya Pamba Tanzania imeendelea kuchukua hatua mbalimbali za kuimarisha uzalishaji wa zao la pamba nchini, huku ikiweka mikakati kabambe ya kuongeza thamani ya zao hilo na kuboresha maisha ya wakulima.

Hayo yamesemwa leo Aprili 28, 2026 bungeni Dodoma na Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo, wakati akiwasilisha hotuba ya bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027.

Lengo kuu la Serikali ni kufikia uzalishaji wa tani 400,000 za pamba ifikapo mwaka wa kilimo 2025/2026, sambamba na kusambaza pembejeo muhimu kwa wakulima, ikiwemo mbegu bora, viuatilifu na vifaa vya kisasa vya kilimo.

“Hadi kufikia Machi 2026, uzalishaji wa pamba umefikia tani 222,014 pekee, sawa na asilimia 55.5 ya lengo lililowekwa. Kupungua kwa uzalishaji kumeelezwa kuchangiwa kwa kiasi kikubwa na mtawanyiko usioridhisha wa mvua katika maeneo mengi ya uzalishaji, hali iliyosababisha kudondoka kwa vitumba vya pamba.”amesema Mhe.Chongolo

Licha ya changamoto hiyo, Serikali imefanikiwa kusambaza pembejeo zenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 61.8 kwa wakulima zaidi ya 510,000. Pembejeo hizo ni pamoja na tani 21,051 za mbegu bora, chupa zaidi ya milioni 9.5 za viuatilifu na vinyunyizi 80,000, hatua inayolenga kuongeza tija mashambani.

Katika kuendeleza kilimo hai, Bodi ya Pamba pia imesambaza lita 408,000 za mbolea hai, zitakazotumika katika zaidi ya hekta 10,000 za mashamba ya pamba.

Aidha, Serikali imenunua mashine 16 za kisasa za kupulizia viuatilifu, hatua itakayosaidia kupunguza adha kwa wakulima waliokuwa wakitumia vinyunyizi vya kubeba mgongoni, pamoja na kuongeza ufanisi katika udhibiti wa wadudu waharibifu.

Katika kuimarisha huduma za ugani, jumla ya Maafisa Ugani 761 wameajiriwa kupitia programu ya BBT kwa kushirikiana na sekta binafsi, lengo likiwa ni kuwafikia wakulima wengi zaidi kwa elimu na ushauri wa kitaalamu.

Mbali na uzalishaji, Serikali pia imejikita katika kuongeza thamani ya zao la pamba kupitia uwekezaji katika viwanda. Tayari maandalizi yanaendelea kwa ajili ya ujenzi wa kiwanda cha kuchakata pamba kwa matumizi ya hospitali na kutengeneza nyuzi za kufungia tumbaku katika Halmashauri ya Itilima.

Vilevile, hatua zimefikiwa katika upatikanaji wa ardhi kwa ajili ya kuanzisha kongani ya viwanda vya pamba katika Mkoa wa Simiyu, ambapo zaidi ya ekari 340 zinatarajiwa kutumika, huku wananchi wakipatiwa fidia stahiki.

Katika juhudi za kufufua miundombinu ya usindikaji, Serikali kwa kushirikiana na wadau imeanza taratibu za kufufua viwanda vya kuchambua pamba (ginneries) katika maeneo ya Mhunze na Uzogole. Hatua hiyo inalenga kuwahakikishia wakulima soko la uhakika na kuongeza thamani ya mazao yao.

Kwa upande mwingine, jitihada za kuwawezesha vijana na wanawake zimeendelea, ambapo mashine za kusokota nyuzi na kutengeneza bidhaa za pamba kama vile vikoi na mitandio zimesambazwa katika baadhi ya maeneo, hatua inayochochea ajira na ujasiriamali.

Kwa ujumla, pamoja na changamoto ya hali ya hewa, juhudi za Serikali zinaonesha dhamira ya dhati ya kufufua na kuimarisha zao la pamba nchini, likiwa ni moja ya mazao muhimu ya biashara na chanzo kikubwa cha ajira na kipato kwa wananchi.

About the author

Alex Sonna