marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

jojobet

vdcasino

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

jojobet

holiganbet

casinomilyon

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

cratosroyalbet

marsbahis

marsbahis

artemisbet

artemisbet

kavbet giriş

mislibet

betra

kavbet

aresbet

jojobet

betasus giriş

holiganbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

betparibu, betparibu giriş

bekabet, bekabet giris

interbahis

Superbetin giriş

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

perabet

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet güncel giriş

betebet

betgar, betgar giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

starzbet

Gamdom

grandpashabet giriş

bets10

bets10

bets10

bets10 giriş

bets10

netbahis

netbahis giriş

casibom

royalbet

savoybetting

https://pasands.com/

يلا شوت

hantavirus token

restbet

deneme bonusu 2026

kralbet

Grandpashabet

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

parmabet

kavbet

kavbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet

artemisbet giriş

parmabet

parmabet giriş

mislibet

parmabet

vdcasino

marsbahis

Featured Kitaifa

SERIKALI YAONGEZA NGUVU KILIMO HIMILIVU KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI

Written by Alex Sonna

Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo,akiwasilisha Hotuba ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 leo Aprili 28,2026 bungeni Dodoma.

Na.Alex Sonna,Mzalendo blog-DODOMA

Serikali imeongeza juhudi katika kuimarisha matumizi ya teknolojia na mbinu za kilimo kinachohimili mabadiliko ya tabianchi, ikiwa ni mkakati wa kulinda uzalishaji wa mazao na kuwasaidia wakulima kukabiliana na athari za hali ya hewa, hususan katika maeneo ya nyanda kame.

Hayo yamesemwa leo Aprili 28, 2026 bungeni Dodoma na Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo, wakati akiwasilisha hotuba ya bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027.

Amesema Kupitia Wizara ya Kilimo na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), hatua mbalimbali zimechukuliwa ikiwemo kuimarisha uwezo wa Kituo cha TARI-Hombolo ili kuwa kitovu mahiri cha tafiti za mazao ya nyanda kame na teknolojia za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.

“Serikali imefanikiwa kugundua na kusambaza mbegu himilivu aina 54 za mazao mbalimbali ikiwemo choroko, maharage, mpunga, karanga, mtama na muhogo. Mbegu hizo zinalenga kuongeza uzalishaji na ustahimilivu wa mazao katika mazingira yenye changamoto za ukame na mvua zisizotabirika.”amesema 

Aidha, kituo cha TARI-Hombolo kimeboreshwa kwa kujengwa miundombinu ya kisasa ikiwemo kitalu nyumba (screen house) na mifumo ya umwagiliaji, hatua inayowezesha tafiti za kisasa na uzalishaji wa miche bora kwa wakulima.

Katika kuendeleza zao la tende, mashamba darasa manne yameanzishwa, huku miche 1,166 ikisambazwa kwa wakulima katika maeneo mbalimbali ya Dodoma na Pwani. Hatua hiyo inalenga kuhamasisha kilimo cha mazao yanayohimili ukame na kuongeza kipato kwa wakulima.

Sambamba na juhudi hizo, Serikali imeendelea kuandaa na kutekeleza mipango ya usimamizi wa mazingira katika sekta ya kilimo, ikiwa ni pamoja na mpango wa pili wa usimamizi wa mazingira unaolenga kuendana na Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, inayosisitiza kilimo endelevu kinachozingatia uhifadhi wa mazingira.

Katika kuhakikisha miradi ya kilimo inazingatia viwango vya mazingira, tathmini za athari za mazingira na jamii zimeendelea kufanyika katika miradi 24, huku hatua za kudhibiti athari hizo zikichukuliwa ili kulinda mazingira na jamii zinazozunguka miradi hiyo.

Kwa upande wa elimu, Wizara imefanikiwa kutoa mafunzo kwa zaidi ya wanufaika 23,000 wakiwemo wakulima, maafisa ugani, watafiti na wadau wengine wa sekta ya kilimo kuhusu mbinu za kilimo himilivu, uhifadhi wa mazingira na matumizi sahihi ya teknolojia za kisasa.

Mafunzo hayo yametolewa katika mikoa mbalimbali nchini ikiwemo Arusha, Dodoma, Morogoro, Mwanza, Tanga na Tabora, yakilenga kuongeza uelewa na uwezo wa wadau katika kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi.

About the author

Alex Sonna