Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

pusulabet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

betpark

betpark

vdcasino

jojobet

Jojobet

tipobet

Redwin

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

grandpashabet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

lunabet

Featured Kitaifa

TARURA YAWAIMARISHA MAAFISA UNUNUZI KUDHIBITI HOJA ZA UKAGUZI

Written by Alex Sonna


Morogoro

‎Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imewahimiza Maafisa Ununuzi kuzingatia kikamilifu sheria, kanuni na taratibu za ununuzi ili kudhibiti upotevu wa fedha za serikali na kuondoa hoja za ukaguzi zinazojitokeza mara kwa mara katika utekelezaji wa miradi.

‎Kauli hiyo imetolewa na Mtendaji Mkuu wa TARURA, Mhandisi Victor Seff wakati akifunga mafunzo ya siku tatu ya kuwajengea uwezo Wakuu wa Vitengo vya Ununuzi TARURA kutoka mikoa yote 26 yaliyofanyika mkoani Morogoro.

‎Mhandisi Seff alisema mafunzo hayo yamelenga kuwajengea uwezo wataalamu wa ununuzi kuhusu utekelezaji sahihi wa sheria ya ununuzi pamoja na namna ya kukabiliana na changamoto wanazokutana nazo katika majukumu yao ya kila siku.

‎Alisema moja ya changamoto kubwa zinazojitokeza ni kuchaguliwa kwa wakandarasi wasio na uwezo wa kutekeleza miradi kwa ufanisi pamoja na udhaifu katika usimamizi wa dhamana mbalimbali za mikataba, hususan dhamana za malipo ya awali.

‎”Tumekuwa tukiona changamoto ya dhamana kupita muda wake hususan dhamana za malipo ya awali, hali inayosababisha fedha za serikali kupotea na kuwa vigumu kurejeshwa kutoka kwa wakandarasi waliolipwa”, alisema Mhandisi Seff.

‎Alieleza kuwa kupitia mafunzo hayo wataalamu wamepata nafasi ya kujadili kwa kina changamoto hizo na kukumbushwa wajibu wao wa kuzingatia sheria, taratibu na miongozo iliyowekwa ili kuhakikisha dosari hizo hazijirudii.

‎Aidha, alisema TARURA imejipanga kuhakikisha hoja zinazohusu dhamana zilizopita muda pamoja na malipo ya awali yasiyorejeshwa hazitaendelea kujitokeza katika taarifa za ukaguzi.

‎”Tumekubaliana kwamba kuanzia sasa hatutegemei tena kuona hoja za ukaguzi zinazohusu dhamana zilizopita muda au malipo ya awali kutorejeshwa kama inavyotakiwa kimkataba”, alisema.

‎Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Menejimenti ya Ununuzi TARURA, Bw. Venant Majambo alisema kikao kazi hicho kimelenga kufanya tathmini ya utekelezaji wa shughuli za ununuzi wa fedha 2025/2026 ambapo zaidi ya asilimia 70 ya fedha zinazotumika TARURA hupitia katika michakato ya ununuzi.

‎Aliongeza kuwa mafunzo hayo yataisaidia TARURA kuingia katika mwaka mpya wa fedha 2026/2027 ikiwa na wataalamu wenye uelewa mpana wa sheria na taratibu za ununuzi, hatua itakayosaidia kuongeza uwazi, uwajibikaji na ufanisi katika matumizi ya fedha za umma.

‎Bw. Majambo alisema TARURA inalenga kupunguza mapungufu yanayobainishwa katika taarifa za ukaguzi kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), PPRA pamoja na wakaguzi wa ndani kupitia usimamizi madhubuti wa shughuli za ununuzi.

About the author

Alex Sonna