Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

deneme bonusu

bahiscom

betgit

betgaranti

grandpashabet

grandpashabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

lordcasino

marsbahis

luxbet

gobahis

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

millibahis

realbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

norabahis

luxbet

betnis

betnis

parmabet

betplay

Hacklink panel

pokerklas

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

rekorbet giriş

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

netbahis

meybet giriş

netbahis

betra

primebahis

tümbet

tümbet giriş

betzula

betzula giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betzula

betzula giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

timebet

betpark

casibom giriş

meritbet

meritbet giriş

uyuşturucu satın al

xxxx

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

netbahis giriş

prensbet

lordcasino giriş

ganobet

gobahis giriş

orisbet giriş

kareasbet

orisbet

millibahis

betnis giriş

orisbet giriş

parmabet giriş

kareasbet

maritbet

kareasbet giriş

gobahis giriş

prensbet giriş

aresbet giriş

vaycasino

prensbet

orisbet

luxbet giriş

meybet

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

norabahis giriş

ganobet

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

rekorbet

goldenbahis

goldenbahis

perabet, perabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

grandpashabet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

cratosroyalbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

Grandpashabet

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

amgbahis

casibom

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

ibizabet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

mislibet giriş

betnis

norabahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet

cratosroyalbet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

casibom

jojobet

monobahis

deneme bonusu

deneme bonusu

tipobet

bets10

sekabet güncel giriş

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

grandpashabet

jojobet

jojobet

nerobet

goldenbahis

jojobet

Hacklink panel

tümbet

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

taksimbet

Uncategorized

SERIKALI KUENDELEA KUTATUA CHANGAMOTO ZA MIRATHI KWA WAJANE

Written by mzalendo

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga akizungumza wakati alipokutana na wajane katika Kijiji cha Kuriche, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro.

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga (wa pili kulia) akimkabidhi mjane nishati mbadala ya kupikia (jiko la gesi) wakati alipogawa majiko ya gesi kwa wajane katika Kijiji cha Kuriche, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro.

Na Mwandishi wetu- Kilimanjaro

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga amesema kuwa Serikali itaendelea kuhakikisha changamoto za usimamizi wa mirathi zinazowakabili kina mama wajane zinapata ufumbuzi.

Kauli hiyo aliitoa wakati akikabidhi nishati mbadala ya kupikia (majiko ya gesi) kwa kina mama wajane katika kijiji Kiriche, Kata ya Makuyuni wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro.

Alisema kuwa, Serikali inatambua changamoto ambazo wajane wanapitia katika usimamizi wa mirathi na kuwataka kutokata tamaa wala kuvunjika moyo.

“Tunafahamu kina mama mnakutana na changamoto nyingi katika eneo la mirathi, msimamizi wa watoto pindi baba anapofariki na wengi wenu mmekuwa mkikosa haki zenu kwa kutokana na kukosa elimu kuhusu mirathi nipende kuwahakikishia kwamba Serikali ipo pamoja na nyinyi,”Alisema Mhe. Ummy.

Pia Naibu Waziri huyo alisema kuwa, katika kuhakikisha mapambano ya utunzaji mazingira hasa mapambano ya mabadiliko ya tabia ya nchi yanafanikiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amekuja na kampeni maalum ya nishati mbadala ya kupikia hatua itakayosaidia uhifadhi wa mazingira pamoja kuepikana na madhara yatokanayo na matumizi ya mkaa na kuni.

“Sisi kinamama ndio tunabeba mzigo wa kupika lakini wakinababa wao wanasubiria chakula mezani lakini hawajui tunapitia mchakato gani wa kupika maeneo mengine tunachafua mazingira kwa kukata miti ili kupata kuni hivyo sasa tunakuja na kampeni ya nishati mbadala ya kupikia” Alisema Naibu Waziri Ummy.

Kwa upande wake, Diwani wa Viti Maalum Mhe. Gladness Mfinanga aliwataka kinamama hao kutumia majiko hayo kama yalivyokusudiwa ili kulinda mazingira.

“Kutokana na uharibifu wa mazingira kusababisha ukame na joto kali niwasihi wananchi tutunze mazingira kwa kuotesha miti katika maeneo yetu ya makazi,”Alibainisha.

Naye Mkazi wa Kitongoji cha Kifula, Kata ya Makuyuni Bi. Mwanasha Kidaya aliishukuru Serikali ya Awamu ya Sita kwa kuendelea kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo kama vile nishati safi ya kupikia akisema kwao imekuwa faraja kubwa kwani hukumbana na changamoto nyingi.

“Tunashukuru sana na tunaahidi kutokuharibu mazingira awali tulikuwa tunapata changamoto ya kupata kuni au mkaa hasa wakati wa msimu wa mvua lakini sasa upatikanaji wa nishati hiyo ambayo ni rafiki wa mazingira utakuwa msaada kwao,”Alipongeza mkazi huyo.

Aidha Mkazi wa Kitongoji cha Saidingi, Kata ya Makuyuni Bi. Zuena Sado aliwahimiza wananchi kuhamasika kutumia nishati hiyo mabadala na rafiki wa mazingira akisema huo utakuwa mwarobaini kwa baadhi ya changamoto za mabadiliko ya tabia nchi na kuweka afaya zao katika hali ya usalama.

About the author

mzalendo