marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

betticket

NervEase

izmit escort

izmit escort

izmit escort

matbet

vdcasino

meritking giriş

kavbet

bets10 giriş

holiganbet

holiganbet

teosbet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

betgaranti

ngsbahis

mavibet

parmabet

mislibet

norabahis

artemisbet

nitrobahis

parmabet giriş

jojobet

kulisbet giriş

kingroyal giriş

kulisbet, kulisbet giriş

vdcasino, vdcasino giriş

kralbet, kralbet giriş

alobet, alobet giriş

jojobet

restbet

jojobet

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet güncel giriş

holiganbet giriş

Nitric Boost

celtabet giriş

Featured Michezo

DKT. BITEKO APONGEZA ROMBO MARATHON,KUHIFADHI MAZINGIRA,KUIMARISHA HUDUMA ZA KIJAMII

Written by mzalendo

 

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,  Mhe. Dkt. Doto Biteko ( Wa Nne kushoto) akishiriki mbio za kilometa Tano wakati aliposhiriki Rombo Marathon, tarehe 23 Desemba 2023 wilayani Rombo mkoani
Kilimanjaro.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,  Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza wakati sherehe za Rombo Marathon, tarehe 23 Desemba 2023 wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro.

Rombo – Kilimanjaro

 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo ameshiriki mashindano ya Rombo Marathon yaliyohusisha mbio za Kilometa tano, kumi na 21 na kupongeza waandaaji kwa ubunifu wao uliopelekea marathon hiyo kuendelea kuimarika kila mwaka ambapo licha ya kulenga
katika kuimarisha afya kwa washiriki, imejikita katika kuchangia uboreshaji wa huduma mbalimbali za kijamii na utunzaji wa mazingira.

 Dkt. Biteko ametoa pongezi hizo tarehe 23 Desemba, 2023 wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro, akiwa ni mgeni rasmi katika  marathon hiyo ambapo alikimbia kwa umbali wa kilometa Tano akiambatana viongozi mbalimbali wa Kitaifa, Mkoa na Wilaya.

“Nimeelezwa kwamba lengo la Rombo Marathon  ni kuhamasisha utunzaji wa mazingira, kukuza utalii wa ndani, kuchangia fedha kwa ajili ya shule za msingi na Sekondari wilayani Rombo ili ziweze kuwa na vyoo salama na pia kuchangia fedha zitakazowezesha kupandisha hadhi ya hospitali
ya Huruma wilayani Rombo ili iweze kuwa hospitali ya Rufaa, niwapongeze sana kwa jambo hili lenye manufaa.” Amesema Dkt. Biteko

Ameeleza kuwa, Serikali itaendelea kuunga mkono juhudi mbalimbali zinazofanywa na wananchi katika kujiletea maendeleo ikiwemo kuunga mkono uanzishaji wa maeneo ya huduma za kijamii kama vile Shule, Vituo vya afya n.k

Ameongeza kuwa, Rombo Marathon licha ya kuchangia katika kuboresha huduma za kijamii, washiriki wa ndani na nje ya nchi pia wamepata fursa ya kubadilishana mawazo na uzoefu katika nyanja mbalimbali ikiwemo za kiuchumi na kijamii.

Dkt. Biteko, amempongeza Mbunge wa Rombo ambaye pia ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda kwa kuanzisha marathon hiyo ambayo sasa inafanyika kwa mara ya Pili huku akieleza kuwa ubunifu huo unapaswa kuigwa na kufanyika katika maeneo mbalimbali nchini.

Katika hatua nyingine, Dkt. Biteko amepongeza utamaduni  wa watanzania wanaotoka  mkoani Kilimanjaro wa kurudi katika maeneo yao wakati wa sikukuu za mwisho wa mwaka  huku akieleza kuwa kurudi nyumbani kunasaidia kufahamu changamoto zilizopo na kuzitatua akitoa wito kwa wananchi wa maeneo mbalimbali kuwa na utamaduni huo.

Mbunge wa Rombo ambaye pia ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema kuwa, marathon hiyo itafanyika kila mwaka tarehe 23 Mwezi Desema huku ikiwa na malengo maalum ambayo ni chanya kwa jamii.

Amemshukuru, Dkt. Doto Biteko kwa kuheshimu marathon hiyo na kukubali kushiriki akieleza kuwa ushiriki huo utakuza marathon hiyo na kuiimarisha  si kiwilaya tu, bali kimkoa na kitaifa.

Viongozi mbalimbali waliohudhuria  marathon hiyo ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba na .Dkt. Tausi Kida, Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji.

Washindi wa Kilometa 21 katika mbio za Wanawake ni Neema Mswadi (3), Nathalie Elisante (2) na Sara Ramadhan (1).Washindi wa Kilometa 21 Wanaume ni  Agustino Sule (3), Nestory Steven (2) na Chigale Giniki (1).

About the author

mzalendo