marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

sapanca escort

sapanca escort

vdcasino

vdcasino

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

milanobet

holiganbet

casibom

dizipal

1xbet giriş

1xbet

tambet

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

perabet giriş

imajbet

grandbahis giriş

imajbet

grandbahis

imajbet giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

ultrabet, ultrabet giriş

tlcasino, tlcasino giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

starzbet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

aaa

pokerklas

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

deneme bonusu veren siteler

taksimbet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

vaycasino

trendbet

bets10

Milanobet

jojobet

cratosroyalbet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

betsat

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

padişahbet

holiganbet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

cratosroyalbet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

jojobet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

esbet

vdcasino

bets10 giriş

perabet

efesbet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

perabet

สล็อตเว็บตรง

zirvebet

casibom giriş

jojobet

bets10

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

sorgu paneli

galabet, galabet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

roketbet, roketbet giriş

betsat

holiganbet

betsat

betsat giriş

deneme bonusu veren siteler

tipobet giriş

casibom

kralbet

en iyi slot siteleri

Featured Kitaifa

WIZARA YA FEDHA YAENDELEA NA MAPITIO YA SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA SURA YA 410 KUENDANA NA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050

Written by Alex Sonna

 

Kaimu Kamishna, Idara ya Sera za Ununuzi wa Umma, Wizara ya Fedha, Bw. Alex Haraba, akizungumza wakati akifungua kikao kazi kilichokutanisha wadau mbalimbali kwa ajili ya kufanya mapitio ya kupitia upya Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura ya 410, kwa lengo la kuioanisha na Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, kikao hicho kilifanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya St. Gasper, jijini Dodoma.

Kamishna Msaidizi wa Idara ya Sera za Ununuzi wa Umma, Wizara ya Fedha, Bi Emma Komba, akichangia hoja katika kikao kazi cha kufanya mapitio ya Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura ya 410, kwa lengo la kuioanisha na Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, kikao hicho kilifanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya St. Gasper, jijini Dodoma.

Meneja Msaidizi, Tenda na Mikataba kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw. Magnus Mlokota, akitoa maoni katika kikao kazi cha kupitia upya Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura ya 410, kwa lengo la kuioanisha na Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, kikao hicho kilifanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya St. Gasper, jijini Dodoma.

Mwakilishi kutoka Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, Bw. Berry Yongolo, akitoa maoni katika kikao kazi cha kufanya mapitio ya Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura ya 410, kwa lengo la kuioanisha na Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, kikao hicho kilifanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya St. Gasper, jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Kampuni ya Jumbo, Bw. Mathias Luoga, akitoa maoni katika kikao kazi cha kupitia upya Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura ya 410, kwa lengo la kuioanisha na Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, kikao hicho kilifanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya St. Gasper, jijini Dodoma.

Baadhi ya wadau wakifuatilia hoja zilizokuwa zikiwasilishwa katika kikao kazi cha kupitia upya Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura ya 410, kwa lengo la kuioanisha na Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, kikao hicho kilifanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya St. Gasper, jijini Dodoma.

Kaimu Kamishna, Idara ya Sera za Ununuzi wa Umma, Wizara ya Fedha, Bw. Alex Haraba, akiwa katika picha ya pamoja na wadau baaada ya kuhitimisha  katika kikao kazi cha kufanya mapitio ya Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura ya 410, kwa lengo la kuioanisha na Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, kikao hicho kilifanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya St. Gasper, jijini Dodoma. Kulia ni Kamishna Msaidizi wa Idara ya Sera za Ununuzi wa Umma, Wizara ya Fedha, Bi Emma Komba na kushoto ni aliyekuwa Katibu wa Kikao kazi hicho ambaye ni Mwanasheria kutoka Idara ya Sheria, Wizara ya Fedha, Bw. Paul Kimweri.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dodoma.)

Na. Saidina Msangi, WF, Dodoma.

Wizara ya Fedha inaendelea na mchakato wa kupitia upya Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura ya 410, kwa lengo la kuioanisha na Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, kupitia kikao kazi kilichowakutanisha wadau mbalimbali kutoka sekta ya umma na binafsi.

Mchakato huo umeanza kwa kikao kazi kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa St. Gasper, Jijini Dodoma, ambapo wadau walipata fursa ya kutoa maoni na mapendekezo yatakayosaidia kuboresha Sheria hiyo.

Akifungua kikao hicho, Kaimu Kamishna wa Idara ya Sera za Ununuzi wa Umma, Wizara ya Fedha, Bw. Alex J. Haraba, alisema mapitio hayo yanalenga kujenga mfumo wa kisasa unaojumuisha hatua zote za mnyororo wa ugavi, kuanzia upangaji wa mahitaji, ununuzi, upokeaji na ugomboaji, uhifadhi na utunzaji, usambazaji, hadi uondoshaji wa mali.

‘‘Mapitio ya sheria hii ni hatua ya kimkakati ya kuhakikisha kuwa masuala yote yanayohusu mnyororo mzima wa ugavi yanajumuishwa kikamilifu katika Sheria mpya, na kwamba mageuzi hayo yatakuwa chachu ya kuchochea maendeleo ya Taifa kwa kuzingatia nguzo na malengo ya Dira ya Maendeleo 2050, ikiwemo ukuaji wa uchumi, maendeleo ya viwanda, pamoja na maendeleo jumuishi na endelevu’’, alisema Bw. Haraba.

Aliongeza kuwa Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura ya 410, imeipa Wizara ya Fedha jukumu la kisheria la kupitia na kuhuisha sera, sheria, kanuni, miongozo, pamoja na maelekezo mbalimbali yanayohusu ununuzi wa umma na ugavi nchini.

Bw. Haraba alifafanua kuwa maoni yote yatakayowasilishwa yatachambuliwa kwa kina ili kubaini maeneo ya kuboresha na kuweka misingi imara itakayosaidia Taifa kufikia malengo ya Dira ya Maendeleo 2050.

Aidha, Bw. Haraba aliwahimiza wadau kushiriki kikamilifu kutoa maoni na kukisisitiza kuwa ushiriki wao ndio utakaohakikisha Sheria mpya inakuwa bora, jumuishi na yenye tija kwa maendeleo ya Taifa.

Aliongeza kuwa Wizara ya Fedha itazingatia na kufanyia kazi mapendekezo yote yatakayowasilishwa katika hatua zinazofuata za mapitio hayo.

Kikao hicho, kilichoratibiwa na Wizara ya Fedha kupitia Idara ya Sera za Ununuzi wa Umma, kiliwakutanisha pamoja wadau mbalimbali kutoka Sekta ya umma na binafsi.

Kwa upande wa sekta ya umma, taasisi zilizoshiriki ni pamoja na Tume ya Mipango, Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA), Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA), Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), Wakala wa Majengo (TBA), Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini (TARURA), Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB), pamoja na Bodi ya Usajili wa Wabunifu wa Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB).

Kwa upande wa sekta binafsi, walishiriki wazabuni mbalimbali wakiwemo Jali Motors Ltd, Firebrand Technologies, Primezone Ltd, Mr. Jumbo, Dynatech Solution Ltd, Vera International Travelling Agency, New Jari Fashion Ltd na Blueberry Travel, ambao walipata fursa ya kuwasilisha maoni yao kuhusu namna ya kuboresha mazingira ya biashara na ushiriki wao katika shughuli za ununuzi wa umma na ugavi.

About the author

Alex Sonna