Uncategorized

WAZIRI MKUU AWAJULIA HALI MAJERUHI WA MAFURIKO YA KATESHI – HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MANYARA

Written by mzalendo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Dominic Michael wakati alipowajulia hali majeruhi  wa mafuriko yaliyotokea Katesh wilayani Hanang kwenye hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara iliyopo Babati, Disemba 5, 2023. Kulia ni Afisa Muuguzi Msaidizi hospitalini hapo, Lucas Kawawa.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Petro Bohai wakati alipowajulia hali majeruhi  wa mafuriko yaliyotokea Katesh wilayani Hanang kwenye hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara iliyopo Babati, Disemba 5, 2023. Kushoto ni Afisa Muuguzi Msaidizi hospitalini hapo, Lucas Kawawa.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akitoka kwenye Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara baada ya  kuwajulia hali majeruhi  wa mafuriko yaliyotokea Katesh wilayani Hanang kwenye hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara iliyopo Babati, Disemba 5, 2023. Kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel na kulia kwake ni Maganga Mkuu wa Serikali Profesa Tumaini Nagu.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole, Petro Bohai wakati alipowajulia hali majeruhi  wa mafuriko yaliyotokea Katesh wilayani Hanang kwenye hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara iliyopo Babati, Disemba 5, 2023. Kushoto ni Afisa Muuguzi Msaidizi hospitalini hapo, Lucas Kawawa.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendo