Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

meritking

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

meritbet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

NAIBU WAZIRI KIKWETE APONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA TASAF MKOANI SIMIYU

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza na walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini na wananchi wa Mtaa wa Mbiti, Kata ya Mhanga iliyopo katika Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu mara baada ya kukagua  nyumba ya Mtumishi wa zahanati ya Mbiti iliyojengwa kwa fedha za  Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF).

Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akipata maelezo mara baada ya kukagua nyumba ya Mtumishi wa zahanati ya Mbiti iliyojengwa kwa fedha za Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) katika Mtaa wa Mbiti, Kata ya Mhanga iliyopo katika Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu.

Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), Bwana Shedrack Mziray akizungumza na walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini na wananchi wa Mtaa ya Mbiti Kata ya Mhanga kabla ya kumkaribisha Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete kuzungumza na wananchi wa mtaa huo mara baada ya kukagua  nyumba ya Mtumishi wa zahanati ya Mbiti iliyojengwa kwa fedha za  Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF)

Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akiburudika  na baadhi ya walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini na wananchi wa Mtaa wa Mbiti Kata ya Mhanga iliyopo katika Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu mara baada ya kukagua nyumba ya Mtumishi ya zahanati ya Mbiti iliyojengwa kwa fedha za Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF)

NA Lusungu Helela-Bariadi

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe Ridhiwani Kikwete ameeleza kuridhishwa na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) mkoani Simiyu.

Mhe. Kikwete amezitaka halmashauri zote nchini zinazotekeleza miradi ya maendeleo hususani kwenye sekta ya huduma za jamii kujifunza kutoka Mkoa wa Simiyu ambao una mafanikio makubwa.

Naibu Waziri ameyasema hayo mjini Bariadi baada ya kupokea ripoti ya utelekezaji wa miradi ya TASAF katika Mkoa wa Simiyu ambao pia ni miongoni mwa mikoa mitano inayotekeleza kwa majaribio miradi ya kupunguza umasikini awamu ya nne- Tanzania Poverty Reduction Project (TPRP IV).

“Simiyu  ni miongoni mwa mikoa ya mfano kwa  utekelezaji na usimamizi mzuri wa miradi ya TASAF, nimeridhishwa sana na hatua kubwa iliyopigwa katika utelekezaji wa shughuli hizi ambazo zina lengo  la kuondoa umasikini na kurahisisha upatikanaji wa huduma za kijamii,” amesema.

Aidha, Mhe.  Kikwete amesisitiza umuhimu wa  waratibu na  wasimamizi wa miradi ya TASAF kuendelea na ufuatiliaji wa karibu wakati wote wa utekelezaji kwa lengo la kuhakikisha miradi yote inaendana na thamani ya fedha iliyotolewa.

Katika hatua nyingine, Mhe. Kikwete amesema serikali kupitia TASAF imesitisha uhawilishaji fedha kwa walengwa kwa njia ya mitandao ya simu na badala yake, zoezi hilo litafanyika kwa njia ya benki au mlengwa kupewa fedha mkononi.

“Kumekuwa na changamoto kadhaa kwenye uhawilishaji fedha kwa njia ya simu, sasa ili kuepukana na changamoto hizo kwa sasa, walengwa watapokea fedha hizo kwa njia ya benki au kuchukua moja kwa moja,” amesema Mhe Naibu Waziri.

Awali, akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa  miradi ya TASAF  kwa niaba ya Katibu  Tawala wa Mkoa, Prisca Kayombo, Mratibu wa TASAF mkoa,  Nyasilu Ndulu  amesema  jumla ya shilingi  Bil. 9.24 zimepokelewa kwa ajili utekelezaji wa miradi hiyo.

“Hadi sasa kaisi cha shilingi Bil. 6.03 sawa na asilimia 65 ya fedha iliyopokelewa zimeshatumika katika ujenzi wa miradi mbalimbali kama ya afya na elimu,” alisema.

Katika sekta ya afya TASAF imewezesha kujengwa kwa Zahanati 9, Nyumba 14, majengo ya wagonjwa wa nje (OPD) 2, jengo la upasuaji 1, jengo la kuhifadhia maiti 1, wodi za mama na mtoto 5 pamoja na maabara 1.

“Kwa upande wa sekta ya elimu tumeweza kujenga vyumba 60 vya madarasa, ofisi 27 za walimu, matundu ya vyoo 186, maktaba 1, nyumba za walimu 4, majengo ya utawala 4 vyumba vya maabara 8 na mabweni 11,” alisema.

About the author

Alex Sonna