Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

WAZIRI WA FEDHA AZIHIMIZA TAASISI ZA FEDHA KUPUNGUZA RIBA NA GHARAMA ZA MIKOPO

Written by Alex Sonna

Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akizungumza wakati akifungua Semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB katika Mkutano Mkuu wa 31 wa Wanahisa, uliobeba kauli mbiu ya “Vijana na Uwekezaji kwenye Hisa”, semina inayofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), ambapo alitoa wito kwa Taasisi za Fedha nchini kupunguza riba na gharama nyingine za mikopo ili kuwawezesha wananchi wakiwemo vijana kupata mitaji ya kuwekeza kwenye shughuli zao za kiuchumi.


Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akitazama Ngoma ya jadi ya Kimasai wakati alipowasili katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), kufungua Semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB katika Mkutano Mkuu wa 31 wa Wanahisa, uliobeba kauli mbiu ya “Vijana na Uwekezaji kwenye Hisa”.

Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb)(kulia), akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Basil Link ambaye ni mnufaika wa Taasisi ya CRDB Bank Foundation yenye jukumu la kuanzisha na kutekeleza programu bunifu, endelevu, na shirikishi zinazolenga kuleta ustawi wa kijamii, na kiuchumi, Bw. Emmanuel Basil Mswahili (kushoto), wakati akitembelea mabanda ya maonesho alipowasili kufungua Semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB katika Mkutano Mkuu wa 31 wa Wanahisa hao, uliobeba kauli mbiu ya “Vijana na Uwekezaji kwenye Hisa” katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC). Wengine katika picha ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Prof. Neema Mori (wa pili kulia), na Makamu Mwenyekiti wa Bodi wa Benki hiyo, Dkt. Donald Mmari (wa tatu kulia)

Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb)(kulia), akimsikiliza Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Himan Investment ambaye ni mnufaika wa Benki ya CRDB, Bi. Mariam Bongi, kuhusu bidhaa yake ya chaki zisizo na vumbi na zisizo na sumu, wakati akitembelea mabanda ya maonesho wakati alipowasili kufungua Semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB katika Mkutano Mkuu wa 31 wa Wanahisa, uliobeba kauli mbiu ya “Vijana na Uwekezaji kwenye Hisa” katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC).

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Prof. Neema Mori, akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB katika Mkutano Mkuu wa 31 wa Wanahisa hao, uliobeba kauli mbiu ya “Vijana na Uwekezaji kwenye Hisa”, uliofunguliwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (hayupo pichani), uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC).

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Abdulmajid Nsekela, akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB katika Mkutano Mkuu wa 31 wa Wanahisa hao, uliobeba kauli mbiu ya “Vijana na Uwekezaji kwenye Hisa”, uliofunguliwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (hayupo pichani), uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC).

 
Baadhi ya Wanahisa wa Benki ya CRDB, pamoja na viongozi mbalimbali wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (hayupo pichani), wakati akifungua Semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB katika Mkutano Mkuu wa 31 wa Wanahisa, uliobeba kauli mbiu ya “Vijana na Uwekezaji kwenye Hisa”, uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), ambapo alitoa wito kwa Taasisi za Fedha nchini kupunguza riba na gharama nyingine za mikopo ili kuwawezesha wananchi wakiwemo vijana kupata mitaji ya kuwekeza kwenye shughuli zao za kiuchumi. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Arusha)

……….

Na Benny Mwaipaja, Arusha

Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Balozi Khamis Mussa Omar (MB), ametoa wito kwa Taasisi za Fedha nchini kupunguza riba na gharama nyingine za mikopo ili kuwawezesha wananchi wakiwemo vijana kupata mitaji ya kuwekeza kwenye shughuli zao za kiuchumi.

Mhe. Balozi Omar ametoa rai hiyo wakati akifungua Semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB katika Mkutano Mkuu wa 31 wa Wanahisa hao, uliobeba kauli mbiu ya “Vijana na Uwekezaji kwenye Hisa” inayofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC).

“Kuna kilio cha wananchi kuhusu kiwango cha riba na ada za huduma za benki, nawahimiza viongozi wa CRDB na taasisi nyingine za fedha hususan benki, kuchukua hatua za kupunguza mzigo wa gharama kwa wateja hasa wanaofungua akaunti na kufanya miamala” alisisitiza Mhe. Balozi Omar

Aidha, aliipongeza Benki ya CRDB, kwa mafanikio makubwa na kuchangia karibu asilimia 29 ya mikopo kwa sekta binafsi nchini na kufanikiwa kuongeza faida, akitaja faida iliyopata mwaka 2025, iliyofikia shilingi bilioni 725, hatua inayoashiria kufanya vizuri zaidi katika mwaka 2026, ambapo kiwango cha faida cha shilingi trilioni moja kinaweza kufikiwa.

Mhe. Balozi Omar, alisifu pia juhudi za CRDB katika kuendeleza bidhaa za ubunifu za soko la mitaji, ikiwemo ushirikiano katika Samia Infrastructure Bond, uhamasishaji wa hati fungani za kijani, programu za vijana na bidhaa za kifedha zenye msingi wa Sharia, kama Sukuk.

Aliahidi kuwa Serikali kwa upande wake itaendelea kuweka mazingira wezeshi kupitia sera thabiti, maboresho ya mifumo ya kisheria na kuimarisha miundombinu ya kifedha ili kuchochea mchango wa sekta hiyo ya fedha katika kukuza pato la Taifa na kukuza biashara na uwekezaji.

Mhe. Balozi Omar, aliwataka vijana kujenga utamaduni wa kuwekeza katika hisa na bidhaa za masoko ya mitaji ili kujihakikishia mustakabali wa kifedha na kuchangia ukuaji wa uchumi wa Taifa.

Kwa Upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Abdul Majid Nsekela, alisema benki yake imeweka mikakati maalumu ya kuwajumuisha vijana kumiliki shughuli za kiuchumi kupitia bidhaa na huduma za kifedha ikiwemo Youth Banking, Junior Jumbo, Teens Account, Scholar Account na Boom Advance.

Akizungumzia kuhusu mafanikio ya CRDB, alisema kuwa benki hiyo imeendelea kukua kwa kasi: mali za benki zilifikia TZS trilioni 23.9 mwanzoni mwa 2026, amana za wateja zimefikia sh. trilioni 16.3 na mikopo iliyotolewa imefikia sh. trilioni 14.7 huku faida ya benki ilifikia sh. bilioni 725 mwaka 2025, ongezeko la zaidi ya asilimia 1,000 katika miaka ya hivi karibuni.

Aliongeza kuwa CRDB imeongeza jitihada za kibunifu za benki, zikiwamo ushirikiano kwenye Samia Infrastructure Bond, uhamasishaji wa hati fungani za kijani, bidhaa za kifedha za misingi ya Sharia (Sukuk), na programu maalumu kwa vijana.

Aidha, alitoa shukrani kwa Serikali kwa kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji, na taasisi za udhibiti kama Benki Kuu ya Tanzania, Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) na CMSA kwa michango yao katika kukuza masoko ya mitaji.

Naye Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Prof. Neema Mori, alibainisha kuwa idadi ya wanahisa wa CRDB imeongezeka kwa kasi kutoka 30,141 mwaka 2021 hadi 89,194 hadi Machi 2026, kiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 195.92.

“Hali hii inaonesha kuwa kuna hamasa kubwa ya umma, hasa vijana, katika kununua hisa za benki. Alielezea furaha yake kuona kuwa CRDB imegeuka kutoka kuwa “household brand” hadi “investors brand” yenye mvuto kwa wawekezaji wadogo na wakubwa” alisema Prof. Mori.

Semina hiyo imewashirikisha baadhi ya Wakuu wa mikoa, Mkuu wa Wilaya ya Arusha, wajumbe wa Bodi, Menejimenti ya CRDB, wanahisa na waandishi wa habari huku Mada zinazojadiliwa ni kuhamasisha uwekezaji wa vijana, utoaji gawio, na mbinu za kukuza ushiriki wa wananchi katika masoko ya mitaji.

About the author

Alex Sonna