Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

jojobet

holiganbet

jojobet

sahabet giriş

betsat

https://www.newstrendline.com/

grandpashabet

ultrabet giriş

lunabet

norabahis

setrabet

jojobet giriş

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

mavibet giriş

mavibet

royalbet giriş

mavibet giriş

norabahis giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

norabahis giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

norabahis

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

mariobet

jojobet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

maxwin

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

sahabet

dinamobet giriş

casibom

vaycasino

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

vaycasino

ultrabet

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betzula

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu veren siteler

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

casibom

royalbet

casibom

kafacasino

betface

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

pusulabet

betsat

betsat

vdcasino

jojobet

casibom

matbet

Jojobet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

royalbet

artemisbet

artemisbet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

betwild

Featured Kitaifa

NAIBU WAZIRI QWARAY ATOA ONYO KWA WASIMAMIZI WANAOKWAMISHA HAKI ZA WATUMISHI

Written by Alex Sonna

NAIBU  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Regina Ndege Qwaray,akizungumza wakati akifunga Kikao Kazi cha Wakuu wa Idara na Vitengo vya Utawala na Rasilimaliwatu kutoka wizara, idara zinazojitegemea, wakala, taasisi na mashirika ya umma, sekretarieti za mikoa pamoja na mamlaka za serikali za mitaa kilichofanyika kwa siku tatu  jijini Dodoma,

Na Alex Sonna,Mzalendo blog-DODOMA

NAIBU  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Regina Ndege Qwaray, ametoa maagizo mazito kwa waajiri na wasimamizi wa watumishi wa umma nchini kuhakikisha wanazingatia sheria, kanuni na taratibu za utumishi ili kuondoa malalamiko yanayowakabili watumishi na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.

Akifunga Kikao Kazi cha Wakuu wa Idara na Vitengo vya Utawala na Rasilimaliwatu kutoka wizara, idara zinazojitegemea, wakala, taasisi na mashirika ya umma, sekretarieti za mikoa pamoja na mamlaka za serikali za mitaa kilichofanyika kwa siku tatu  jijini Dodoma, Mhe.Qwaray amesema Serikali haitavumilia uzembe wa wasimamizi unaosababisha watumishi kunyimwa haki zao za msingi.

Amesema katika ziara zake mbalimbali amebaini changamoto nyingi za kiutumishi zinazotokana na kutofuata sheria na taratibu, ikiwemo ucheleweshaji wa upandishaji vyeo, kutolipwa kwa wakati stahili mbalimbali kama nauli za likizo na gharama za uhamisho, hali inayozalisha malalamiko miongoni mwa watumishi wa umma.

“Ni wajibu wa wasimamizi wa Utawala na Rasilimaliwatu kuwa kiungo muhimu kati ya viongozi na watumishi kwa kutoa ushauri sahihi unaozingatia sheria. Haki za watumishi lazima zilindwe wakati wote,” amesema Qwaray.

Katika hatua nyingine, Naibu Waziri huyo ameeleza kusikitishwa na baadhi ya waajiri na wasimamizi wanaoshindwa kuzingatia taratibu za uendeshaji wa mashauri ya nidhamu, jambo linalosababisha watumishi walioshtakiwa kushinda rufaa zao kutokana na dosari za kiutaratibu.

Amesema hali hiyo inaigharimu Serikali fedha nyingi pamoja na kuathiri taswira ya taasisi za umma mbele ya wananchi.

“Hii ni fedheha kubwa. Tunahitaji mashauri ya nidhamu yaendeshwe kwa kuzingatia sheria ili maamuzi yanayotolewa yawe halali na yenye kuhimili ukaguzi wa mamlaka za rufaa,” amesisitiza.

Mhe.Qwaray ametoa maelekezo kwa waajiri wote kutekeleza kwa wakati maamuzi yanayotolewa na Tume ya Utumishi wa Umma, akibainisha kuwa kutotekeleza maamuzi hayo ni ukiukwaji wa sheria na taratibu za utumishi wa umma.

Kuhusu mfumo wa e-Utendaji, amesema Serikali imebaini baadhi ya wasimamizi walishindwa kufanya tathmini za utendaji kazi kwa watumishi waliokuwa chini yao kwa mwaka wa utendaji wa 2024/2025, jambo lililosababisha baadhi ya watumishi kukosa sifa za kupandishwa vyeo licha ya kutekeleza majukumu yao ipasavyo.

Kutokana na hali hiyo, amemuelekeza Katibu Mkuu (Utumishi) kwa kushirikiana na waajiri wote kuwabaini wasimamizi waliozembea na kuwachukulia hatua za kinidhamu, ikiwemo kuwaondoa kwenye nafasi za uongozi pale itakapothibitika walishindwa kutekeleza wajibu wao bila sababu za msingi.

Aidha, amesema watumishi walioathirika kutokana na uzembe wa wasimamizi wao wanapaswa kupewa unafuu wa masharti ili wasiathirike katika maendeleo yao ya kiutumishi.

Katika eneo la maadili,Mhe.Qwaray ameeleza kuwa Serikali imebaini kuongezeka kwa matumizi ya lugha zisizofaa kwa wananchi, tuhuma za rushwa na matumizi yasiyo salama ya teknolojia katika baadhi ya taasisi za umma.

Kutokana na hali hiyo, ameagiza watumishi wote wa umma kujengewa uwezo kuhusu usalama wa taarifa za Serikali pamoja na matumizi sahihi ya teknolojia za Akili Unde (Artificial Intelligence), huku akisisitiza matumizi ya barua pepe rasmi za Serikali katika mawasiliano yote ya kikazi.

“Tunapaswa kulinda siri za Serikali na kuhakikisha matumizi ya teknolojia yanafanyika kwa kuzingatia maadili ya utumishi wa umma,” amesema.

Akizungumzia umuhimu wa rasilimaliwatu, Qwaray amesema ndiyo nguzo kuu ya maendeleo ya taifa na kwamba usimamizi wake bora utasaidia kuongeza tija katika matumizi ya rasilimali nyingine za Serikali.

Aidha amewataka washiriki wa kikao hicho kutekeleza kwa vitendo maazimio yote yaliyofikiwa pamoja na maelekezo yaliyotolewa, na kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wake Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kabla ya Julai 31, 2026.

Awali, Mhe.Qwaray amewapongeza washiriki wa kikao hicho kwa mijadala yao yenye tija na mchango walioutoa katika kujadili namna ya kuimarisha utawala na usimamizi wa rasilimaliwatu katika utumishi wa umma.

Amesema maarifa yaliyopatikana katika kikao hicho yanapaswa kutumika kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi na kujenga utumishi wa umma wenye usikivu, uwajibikaji na matokeo chanya kuelekea utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050.

Kwa upande wake Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Juma Mkomi, amewapongeza waajiri wa taasisi mbalimbali za umma kwa kuwapa ruhusa na kuwawezesha watumishi wanaosimamia utawala na rasilimaliwatu kushiriki kikao kazi maalumu kilicholenga kuboresha utendaji katika Utumishi wa Umma.

Amesema kwa miaka ya hivi karibuni, utawala na usimamizi wa rasilimaliwatu katika Utumishi wa Umma umeendelea kuimarika kwa kiwango kikubwa kutokana na maboresho mbalimbali yanayotekelezwa na Serikali, ikiwemo matumizi ya mifumo ya kidijitali katika kusimamia watumishi na kuongeza uwajibikaji.

Hata hivyo, amebainisha kuwa pamoja na mafanikio hayo, bado kuna changamoto zinazohitaji kufanyiwa kazi ili kuhakikisha watumishi wanapata haki zao kwa wakati na taasisi za umma zinaendelea kutoa huduma bora kwa wananchi.

“Tumepiga hatua kubwa katika usimamizi wa rasilimaliwatu, lakini bado zipo changamoto zinazohitaji ushirikiano wa pamoja kati ya waajiri, wasimamizi na watumishi wenyewe ili kuzitatua,” amesema Mhe. Mkomi.

Mkomi amesema kikao hicho kimetoa mapendekezo na maelekezo yatakayosaidia kuondoa vikwazo vinavyokwamisha maendeleo ya watumishi na kuimarisha usimamizi wa rasilimaliwatu katika sekta ya umma.

About the author

Alex Sonna