Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

casibom giriş

pusulabet

grandpashabet

pusulabet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

betpark

betpark

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

tipobet

redwin

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

grandpashabet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

lunabet

Featured Kitaifa

SEKTA YA MALIASILI NA UTALII YAVUKA MATARAJIO YA MAKUSANYO

Written by Alex Sonna

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji, akiwasilisha Hotuba ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 leo  Mei 15, 2026 bungeni Dodoma.

Na.Alex Sonna,Mzalendo blog-DODOMA

 Sekta ya Maliasili na Utalii imeendelea kuonesha kuwa mhimili muhimu wa uchumi wa Taifa baada ya Wizara ya Maliasili na Utalii kukusanya zaidi ya Shilingi bilioni 989 ndani ya miezi kumi ya mwaka wa fedha 2025/2026, sawa na asilimia 83.45 ya lengo la makusanyo.

Hayo yamesemwa leo Mei 15, 2026 bungeni Dodoma na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji, wakati akiwasilisha hotuba ya bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027,amesema kuwa hatua hiyo  ni ishara ya kuimarika kwa shughuli za utalii, uhifadhi wa maliasili pamoja na usimamizi wa rasilimali za taifa zinazochangia kwa kiwango kikubwa mapato ya Serikali.

Amesema kuwa katika mwaka wa fedha 2025/2026 Wizara iliidhinishiwa kukusanya jumla ya Shilingi trilioni 1.18 kupitia taasisi mbalimbali zilizo chini yake.

“Kati ya fedha hizo, zaidi ya Shilingi bilioni 860 zilitarajiwa kukusanywa kupitia Tanzania National Parks Authority (TANAPA) na Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA) na kuwasilishwa katika Tanzania Revenue Authority (TRA).”amesema Dkt. Kijaji,

Aidha, zaidi ya Shilingi bilioni 115 zilipangwa kukusanywa kupitia Idara za Wizara, Mfuko wa Mambo ya Kale pamoja na Tanzania Wildlife Management Authority (TAWA) kwa ajili ya Mfuko Mkuu wa Serikali.

Wizara ilitarajia kukusanya zaidi ya Shilingi bilioni 209 kupitia taasisi mbalimbali zinazotumia mfumo wa kidijitali wa MNRT Portal, hatua inayotajwa kuongeza uwazi na ufanisi katika ukusanyaji wa mapato.

Taasisi hizo ni pamoja na Tanzania Wildlife Research Institute (TAWIRI), Tanzania Forestry Research Institute (TAFORI), Tanzania Forest Services Agency (TFS), College of African Wildlife Management Mweka (CAWM) pamoja na taasisi nyingine za mafunzo, utafiti na utalii.

Amesema  kuwa hadi kufikia Aprili 2026, TANAPA na NCAA zimeongoza kwa mchango mkubwa wa mapato baada ya kukusanya zaidi ya Shilingi bilioni 725, kiwango kinachoakisi kuongezeka kwa watalii na shughuli za uhifadhi nchini.

Wakati huo huo, Idara za Wizara, Mfuko wa Mambo ya Kale na TAWA zimekusanya zaidi ya Shilingi bilioni 85 huku taasisi zinazokusanya na kutumia kupitia mfumo wa MNRT Portal zikikusanya zaidi ya Shilingi bilioni 178.

Sekta hiyo imeendelea kuwa miongoni mwa sekta zenye mchango mkubwa katika uchumi wa Tanzania huku Serikali ikiweka mikakati zaidi ya kuongeza watalii, kuimarisha uhifadhi na kuvutia uwekezaji katika maeneo ya utalii na maliasili nchini.

About the author

Alex Sonna