Jumanne, Novemba 24, 2026
HABARI MPYA
Featured

RAIS SAMIA ATETA NA RAIS WA CHINA MH. XI JINPING AFRIKA KUSINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa China Mhe. Xi Jinping kando ya Mkutano wa BRICS unaofanyika Jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 24 Agosti, 2023.