Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

PPRA YAJIPANGA KUPUNGUZA SIKU ZA MCHAKATO WA UNUNUZI KUONGEZA UFANISI 

Written by Alex Sonna

Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Ununuzi wa Umma (PPRA) Bw. Eliakim Maswi wakati akitoa taarifa kwa Waandishi wa Habari kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Mamlaka hiyo na Mwelekeo wa utekelezaji wa Mwaka wa Fedha 2023/2024.

 
Na.Alex Sonna-DODOMA

SERIKALI kupitia Mamlaka ya Udhibiti Ununuzi wa Umma (PPRA) imesema katika Mwaka wa Fedha 2023/24 imepanga kupunguza siku za mchakato wa ununuzi kwa lengo la kuongeza ufanisi katika kutekeleza miradi.

Hayo yamesemwa leo Julai 17,2023 jijini Dodoma na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Ununuzi wa Umma (PPRA) Bw. Eliakim Maswi wakati akitoa taarifa kwa Waandishi wa Habari kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Mamlaka hiyo na Mwelekeo wa utekelezaji wa Mwaka wa Fedha 2023/2024.

“Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, amedhamiria kubadilisha utendaji wetu kama mamlaka na anataka tutoke tulipo kwa kutumia njia mbalimbali ikiwemo matumizi ya mifumo ya kielektroniki kuleta tija na ufanisi unaostahil,” amesema Bw.Maswi

 Maswi amesema kuwa katika mwaka huu wa fedha serikali imetenga sh. bilioni 40.4 kwa PPRA kuendesha shughuli mbalimbali za kiutendaji.

Aidha amesema kuwa katika fedha hizo sh. bilioni 20 zitatumika kwa uwekezaji, ukaguzi wa taasisi na kuwajengea uwezo watumishi.

”Serikali imefanya maamuzi ya kuanzisha mfumo mpya wa manunuzi wa kielekroniki National e-Procurement System of Tanzania (NeST) kudhibiti rushwa, mchakato wa zabuni kuchelewa na kuongeza uwazi wa zabuni.”amesema

Hata hivyo amesema kuwa lengo la kuanzisha mfumo huo ni kuongeza uwazi katika ununuzi wa umma, usimamizi mzuri wa fedha za umma, kudhibiti vitendo vya rushwa, ufuatiliaji kukidhi sheria, uwajibikaji na udhibiti wa manunuzi.

Amesema kuwa tangu Julai Mosi mwaka huu mfumo wa NeST ulianza kutumika rasmi.

“Taasisi zinazosimiwa na Msajili wa Hazina na Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa, zinapaswa kuanza kutumia mfumo mpya kwa shughuli za ununuzi wa umma kuanzia mwaka huu wa fedha.

Ameongeza kuwa: “Ifikapo Oktoba Mosi mwaka huu taasisi nunuzi zote za serikali hazitaweza kutuma mialiko ya zabuni katika mfumo wa zamani wa  TANePS na badala yake zitapaswa kutumia mfumo wa NeST  unaopatikana kwa kupitia anuani ya https://www.nest.go.tz,”

Pia amefafanua kuwa mamlaka haitasita kuwachukulia hatua kwa mujibu wa sheria kwa wale wote watakaokiuka taratibu au watajihusisha na uovu wowote utakaoisababishia serikali hasara.

About the author

Alex Sonna