Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

casibom

royalbet

imajbet

kafacasino

betface

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

betasus

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

Featured Kitaifa

SERIKALI, VIONGOZI WA DINI WATETA LUGHA MOJA SUALA LA MALEZI YA WATOTO

Written by Alex Sonna

 

Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt.John Jingu, akifungua warsha ya Wajibu wa Wazazi na walezi katika malezi ya watoto na Familia Tanzania sambamba na kuweka mikakati ya Malezi Bora ndani ya jamii leo Julai 17,2023  jijini Dar es Salaam.

Mwakilishi wa UNICEF, Moud Oroglecrev Fortuyin  akitoa Salam za UNICEF wakati wa warsha ya wajibu wa Wazazi na walezi katika malezi ya watoto na Familia Tanzania sambamba na kuweka mikakati ya Malezi Bora ndani ya jamii,leo Julai 17, 2023

Mwakilishi wa Mufti wa Tanzania Sheihk Ally Hamis Ngeruko, akitoa Salamu za BAKWATA wakati wa warsha ya Wajibu wa Wazazi na walezi katika malezi ya watoto na Familia Tanzania sambamba na kuweka mikakati ya Malezi Bora ndani ya jamii, iliyofanyika jijini Dar es Salaam Julai 17, 2023

Makamu wa kwanza wa baraza la Kikristo Tanzania Askofu Stanley Hotay wakati wa warsha ya Wajibu wa Wazazi na walezi katika malezi ya watoto na Familia Tanzania sambamba na kuweka mikakati ya Malezi Bora ndani ya jamii, iliyofanyika jijini Dar es Salaam Julai 17, 2023

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Watoto Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Sebastian Kitiku akielezea Malengo ya Warsha ya Wajibu wa Wazazi na walezi katika malezi ya watoto na Familia Tanzania sambamba na kuweka mikakati ya Malezi Bora ndani ya jamii, jijini Dar es Salaam Julai 17, 2023

Baadhi ya Viongozi wa Dini na wadau wakiwa wanafuatilia warsha ya Wajibu wa Wazazi na walezi katika malezi ya watoto na Familia Tanzania sambamba na kuweka mikakati ya Malezi Bora ndani ya jamii, iliyofanyika jijini Dar es Salaam Julai 17, 2023

Afisa Maendeleo ya Jamii kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Victor Rugaraban, akiwasilisha mada wakati wa warsha ya Wajibu wa Wazazi na walezi katika malezi ya watoto na Familia Tanzania sambamba na kuweka mikakati ya Malezi Bora ndani ya jamii, jijini Dar es Salaam Julai 17, 2023

Katibu Mkuu Dkt. John Jingu akiwa kwenye picha ya Pamoja na baadhi ya Viongozi wa Dini wakati wa warsha ya Wajibu wa Wazazi na walezi katika malezi ya watoto na Familia Tanzania sambamba na kuweka mikakati ya Malezi Bora ndani ya jamii, iliyofanyika jijini Dar es Salaam Julai 17, 2023

Na WMJJWM, Dar es Salaam.

Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. John Jingu amesema migogoro ya kifamilia inachangia watoto kuwa katika hali mbaya ya malezi na kuongezeka ukatili dhidi yao.

Akizungumza jijini Da es Salaam katika mkutano wa viongozi wa dini na Serikali, Dkt. Jingu amesema kwa watoto 335,971, walibainishwa kuishi katika mazingira hatarishi na kufanya kazi mtaani hadi kufikia Machi, 2023.

Dkt. Jingu amesema, Takwimu za Jeshi la Polisi Tanzania kuanzia Januari mpaka Desemba 2022, kulikuwa na matukio 12,163 ambapo ubakaji ni 6,335, ulawiti ni 1,557 na mimba za utotoni ni 1,555 kwa mujibu wa Jeshi la Polisi.

“Jumla ya watoto 2,185 kati yao wa kiume 1,324 na wa kike 861 waliokuwa wanafanya kazi na kuishi mitaani waliunganishwa na familia zao ili kuwasaidia watoto hao ambapo Serikali imeratibu uanzishwaji wa Makao ya Watoto 333 ya Serikali na Binafsi ambayo yanahifadhi watoto 12,077.” amrsema Dkt. Jingu.

Jingu amebainisha kwamba, kufuatia hali hiyo Serikali imeandaa mwongozo unaoelekeza namna bora ya malezi ya watoto na familia kwa kuzingatia mazingira na kusisitiza zaidi wajibu wa wazazi au walezi katika malezi ya watoto na familia.

“Mwongozo huo wa kitaifa unajulikana kama Familia Bora, Taifa Imara: Mwongozo wa Taifa wa Wajibu wa Wazazi na Walezi katika Malezi ya Watoto na Familia wa mwaka 2023 Lengo la lake ni kujengeana uelewa na uzingatiaji wa masuala ya msingi kama Taifa juu ya Wajibu wa Wazazi au Walezi kwenye malezi ya Watoto na Familia” ameongeza Dkt. Jingu.

Akitoa salam za Jumuiya ya Kikristo Tanzania Mwenyekiti mwenza wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT)Askofu Dkt. Stanley Hotay alisema Maadili kwa sasa yameporomoka hususani kwa upande wa watoto wa kiume.

“Tunawapa majina ya watoto wa mitaani, watoto wale sio yatima wana wazazi ila migogoro ya familia, ugumu wa maisha, matumizi ya dawa za kulevya na vingine vingi tufikiri kuwa kama wazazi wetu wangetulea vibaya leo tungekuwa hapa” amesema Askofu Hotay.

Awali Mkurugenzi wa Maendeleo ya Watoto Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Sebastian Kitiku, alisema Kikao hicho kitatoka na Mpango kazi wa Malezi baada ya kukaa na wataalam kutoka pande zote zinazohusika.

About the author

Alex Sonna