Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (kushoto), akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, kabla ya kuanza kwa Kikao na Balozi wa Ethiopia Nchini, Shibru Mamo Kedida, kilichofanyika jijini Dar es Salaam,
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (kulia meza kuu) na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni wakiongoza Kikao kati ya Balozi wa Ethiopia Nchini, Shibru Mamo Kedida (wapili kushoto) pamoja na Maafisa wa Wizara hizo, kilichofanyika jijini Dar es Salaam
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza katika kikao na Balozi wa Ethiopia Nchini (hayupo pichani) kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano, kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (wapili kushoto), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (kulia), wakifurahi jambo na Balozi wa Ethiopia Nchini, Shibru Mamo Kedida, baada ya kumalizika kwa kikao chao kilichofanyika jijini Dar es Salaam
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akimsikiliza Balozi wa Ethiopia Nchini, Shibru Mamo Kedida, alipokuwa akimfafanulia jambo baada ya kumalizika kwa kikao kilichojadili masuala mbalimbali ya ushirikiano, kilichofanyika jijini Dar es Salaam
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (wapili kulia), Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Ethiopia Nchini, Shibru Mamo Kedida pamoja na msaidizi wake baada ya kumalizika kwa kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (katikati), Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (watatu kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Ethiopia Nchini, Shibru Mamo Kedida (watatu kushoto), na Maafisa wa Wizara hizo baada ya kumalizika kwa kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.